Polepole sio kiongozi wa CCM mbonaHalijawahi kuongelewa na kiongozi yoyote wa CCM, so hii ni breaking news leo
Ni mwanaCCM na alishawahi kushika uongozi wa juu wa CCMPolepole sio kiongozi wa CCM mbona
Achukue fomu basi kama amefanya kazi nzuri. Mbona Waitara alichukua?... mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Kuanzisha siyo issue kubwa. Kikubwa ni kumaliza miradi aliyoikuta. Kama angetaka kuanzisha miradi yake ina maana SGR, JKNHP na Kigongo Busisi zingekamilika. Na ingekuwa matumizi mabaya ya raslimali fedha za ummaUme anza vizuri mwisho ume haribu
Embu onyesha mradi wa ssh ambao kauanzisha yeye na kaumaliza au bado una endelea?
Uwezo wa Samia ni mkubwa sana ndiyo maana mpaka sasa hivi nchi inapiga hatua kiuchumi, amani imetamalaki na wewe unalo bando la kuandika matusi kwenye JFHujaona kama ni kitu kikubwa kwa sababu uwezo wako ni mdogo.
Sisi tuonaona huyu maza alikalia kiti kwa zali la mentali na uwezo wake nimdogo sana. Kumpitisha kihuni ili aendeleee kuwa kiongozi huo ni unajisi.
Tungekuwa na kiongozi mwenye uwezo haya tunayoyapigia kelele tuaingefanya hivyo.
CCM wameleta mtu anayetumia pesa nyingi kushawishi watu.
Baba yake wamemvania lini? Mbkna baba yake ni marehemu?Mkuu naona una mihemko kweli kweli. Ugali wako uko hatarini nini? Soma tena ulichoandika halafu jiulize mbona wamemvamia baba yake?
Hafiki oktoba. Anaondolewa.Basi kapige kura ya kumkataa Oktoba, ni haki yako kikatiba
😅Una maanisha kishundu bwashee?Kama yale aliyoongea ya kawaida basi wewe unawaza kwa kutumia tundu la donati
Ni dada yake. Ni kukosea anasiyo kukurupuka kama Samia. Anakurupuka kukamata watu ambao hata hawajui ni nini kinachoendelea. Mama anahofia mpaka kivuli chake.Baba yake wamemvania lini? Mbkna baba yake ni marehemu?
Unakurupuka tu kuchangia hoja wakati hauna umakini wa mawazo
Kama anafanya kazi kwanini mmepiga watu block kuchukua Fomu,,, na huku nje wanachezesha wengine danadana kwenye selo...View attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Hakuna kumuacha.View attachment 3409784

huyo katumwa na watekaji, usimzingatie huyoKama yale aliyoongea ya kawaida basi wewe unawaza kwa kutumia tundu la donati
Ndiye aliyeasisi uminyaji demokrasia, kunyima freedom of expression, kutofuata rule of law, kunyang'anya fedha za wafanyabiashara, kuwatupa rumande watu wasio na hatia na kuendesha genge la WASIOJULIKANAKwanini ulikua unamchukia sana JPM?
Wewe na waume zako au😂Wewe na mume wako? Watanzania sisi hatumtaki.