Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

... mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Achukue fomu basi kama amefanya kazi nzuri. Mbona Waitara alichukua?
 
Ume anza vizuri mwisho ume haribu

Embu onyesha mradi wa ssh ambao kauanzisha yeye na kaumaliza au bado una endelea?
Kuanzisha siyo issue kubwa. Kikubwa ni kumaliza miradi aliyoikuta. Kama angetaka kuanzisha miradi yake ina maana SGR, JKNHP na Kigongo Busisi zingekamilika. Na ingekuwa matumizi mabaya ya raslimali fedha za umma
 
Uwezo wa Samia ni mkubwa sana ndiyo maana mpaka sasa hivi nchi inapiga hatua kiuchumi, amani imetamalaki na wewe unalo bando la kuandika matusi kwenye JF
 
Mkuu naona una mihemko kweli kweli. Ugali wako uko hatarini nini? Soma tena ulichoandika halafu jiulize mbona wamemvamia baba yake?
Baba yake wamemvania lini? Mbkna baba yake ni marehemu?

Unakurupuka tu kuchangia hoja wakati hauna umakini wa mawazo
 
Baba yake wamemvania lini? Mbkna baba yake ni marehemu?

Unakurupuka tu kuchangia hoja wakati hauna umakini wa mawazo
Ni dada yake. Ni kukosea anasiyo kukurupuka kama Samia. Anakurupuka kukamata watu ambao hata hawajui ni nini kinachoendelea. Mama anahofia mpaka kivuli chake.
 
Kama anafanya kazi kwanini mmepiga watu block kuchukua Fomu,,, na huku nje wanachezesha wengine danadana kwenye selo...
 
Hakuna kumuacha.

Huyo ashtakiwe kwa uhaini.
 
Kwanini ulikua unamchukia sana JPM?
Ndiye aliyeasisi uminyaji demokrasia, kunyima freedom of expression, kutofuata rule of law, kunyang'anya fedha za wafanyabiashara, kuwatupa rumande watu wasio na hatia na kuendesha genge la WASIOJULIKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…