Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
...'wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia'...View attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Kama wanachama wanafanyiwa uhuni, vipi sisi wananchi huku wengine?Hilo linaihusu CCM na wanachama wake
Mkuu kweli ww ni kilaza....kama hayo aliyoyasema unaona hayana maajabu basi ww ni kilaza inshort akili yako bado ni finyu sana kuchambua mambo.View attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Lakini genge la watekaji bado lipo mkuu tena liko active zaidi. The incumbent alikua makamu wa rais, alikua na nafasi ya kurekebisha ya JPM. Hajafanya hivyo lakini unamuunga mkono chief.Ndiye aliyeasisi uminyaji demokrasia, kunyima freedom of expression, kutofuata rule of law, kunyang'anya fedha za wafanyabiashara, kuwatupa rumande watu wasio na hatia na kuendesha genge la WASIOJULIKANA
Siku nyingine mkiambiwa muwe mnaelewa bongo zenu zilitegemea kupata maelezo mapya kumbe mmegundua maelezo ni yale yale tu na toba ndani yake kwamba usiendelee na hio endelea na hii bila hivyo utasambaratishwaKurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Hivi kweli mnatuona watanzania wajinga sana,mlijua siri zenu zinakuja kuanikwa?maana siku zote mtu mchafu huwa anakuwa na wasiwasi mda woteView attachment 3409784
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+.
Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali la 3. Kimsingi hakuna kitu kipya alicho ongea kinachoathiri usalama wa Taifa letu.
Ameongea vitu vya kawaida tunavyovielewa;-
1) Kutopata matokeo kwa malengo ambayo Serikali imejiwekea
2) Hisia kuwa kuna ombwe la uongozi
3) Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia mwezi Januari kuwa mgombea pekee
Mengi ni maoni yake tu na wala siyo mapya kwa kuwa hata humu JF kuna watu wana maoni tofauti kama hayo.
Mytake:-
Vyombo vya dola viachane kuhangaika na watu kama Humphrey Polepole kwa kuwa wanatafuta umaarufu kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake. Kipindi hiki wengi watafanya hizo press. Waachwe tu, mimi naamini wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia
Kama ndivyo aachie mchakato huru wa uchaguzi ili hao raia wamchague kihalali kwa kuzingatia alioyafanya. Aache uoga...'wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia'...
Mkuu, vurugu zote zinazolalamikiwa na wananchi kukandamiza demokrasia, utekaji na mauaji kwako wewe ndiyo utawala bora?
Kumekuwa na kampeni za kupiga debe kusifia kijumla jumla kuhusu miundo mbinu za kushangaza sana!
Wapenzi wa utawala huu, muwe mnataja specifically kwa majina pamoja na maeneo miundombinu iliyoasisiwa na kukamilishwa na Rais huyu kwa kutekelezwa.
Ninapoishi mimi, sijaona muundo mbinu wowote ulioanzishwa na Serikali ya awamu hii.
Iliyopo na iliyokwama ni ile iliyoasisiwa na awamu iliyopita ya 5.
Huduma za afya unazozisifia wewe ni majengo mazuri yasiyotoa huduma bora za afya.
Kama una gonjwa kubwa na hauna hela, usijihangaishe kupeleka pua lako hospitali, utadhalilika pamwe kifo.
Sifia sifia yenu hii, huku mkiujua ukweli ulio kinyume na maelezo yenu, kuna kitu si haba ambacho mnakuwa mnanufaika nacho.
Nimeipenda hii.Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake.
Aliyeleta huu uzi ni mtoto na akili zake hazijakomaa.Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa na kitokanacho na najisi ni najisi, hili siyo jambo dogo hata kidogo.
Pole sana, ila siyo lazima miundombinu iwe hapo unapoishi wewe. Lakini kiujumla Samia kaupiga mwingi...'wananchi wanajua kazi ambayo Rais Samia amepiga kwenye sekta za miundombinu, afya, elimu, utawala bora na demokrasia'...
Mkuu, vurugu zote zinazolalamikiwa na wananchi kukandamiza demokrasia, utekaji na mauaji kwako wewe ndiyo utawala bora?
Kumekuwa na kampeni za kupiga debe kusifia kijumla jumla kuhusu miundo mbinu za kushangaza sana!
Wapenzi wa utawala huu, muwe mnataja specifically kwa majina pamoja na maeneo miundombinu iliyoasisiwa na kukamilishwa na Rais huyu kwa kutekelezwa.
Ninapoishi mimi, sijaona muundo mbinu wowote ulioanzishwa na Serikali ya awamu hii.
Iliyopo na iliyokwama ni ile iliyoasisiwa na awamu iliyopita ya 5.
Huduma za afya unazozisifia wewe ni majengo mazuri yasiyotoa huduma bora za afya.
Kama una gonjwa kubwa na hauna hela, usijihangaishe kupeleka pua lako hospitali, utadhalilika pamwe kifo.
Sifia sifia yenu hii, huku mkiujua ukweli ulio kinyume na maelezo yenu, kuna kitu si haba ambacho mnakuwa mnanufaika nacho.
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwakeMkuu kweli ww ni kilaza....kama hayo aliyoyasema unaona hayana maajabu basi ww ni kilaza inshort akili yako bado ni finyu sana kuchambua mambo.
Karekebisha mengi anayoyaweza, yaliyomshinda watasahihisha wengine. Karuhusu mikutano ya vyama, katoa ruzuku zilizozuiliwa, kapandisha mishahara wafanyakazi, kaacha unyang'anyi wa fedha za wafanyabiasharaLakini genge la watekaji bado lipo mkuu tena liko active zaidi. The incumbent alikua makamu wa rais, alikua na nafasi ya kurekebisha ya JPM. Hajafanya hivyo lakini unamuunga mkono chief.
Naona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Jiwe.Siku nyingine mkiambiwa muwe mnaelewa bongo zenu zilitegemea kupata maelezo mapya kumbe mmegundua maelezo ni yale yale tu na toba ndani yake kwamba usiendelee na hio endelea na hii bila hivyo utasambaratishwa