Baada ya Kumsikia Polepole kupitia Facebook; Serikali isihangaike kuwazuia

Hivi kweli mnatuona watanzania wajinga sana,mlijua siri zenu zinakuja kuanikwa?maana siku zote mtu mchafu huwa anakuwa na wasiwasi mda wote
Kuna siri gani kwa aliyoyaongea?
 
Aliyeleta huu uzi ni mtoto na akili zake hazijakomaa.
Unausoma uzi ulioletwa na mtoto mwenye akili ambayo haijakomaa na na comment!! Wewe ni HAMNAZO.

Unge IGNORE ningekuona uko sawa
 
Hivyo vyombo Dola vilivyohangaika na CHAULA, SATIVA, MDUDE na SOKA????

Hivyo ambavyo kila jumalili vinaenda kupiga waumini wa Gwajima na kuvunja makanisa???
 
Magu went through more difficult times wakati wa 2015 elections

Ccm alipoteza miamba kweli… sio mtu aliyekua msemaji for few years na kuwa balozi
 
Kanimalizia bando tu, ndiyo nawaasa na wengine wasihangaike
ili usimalize bando ungelipaswa hata usiwashwe na press ya Slow Slow .ila sasa umeonekana kuwashwa na alichokisema Slow slow ila unataka CCM(wao) wasi washwe wakati we mwenyewe ushawashwa tayari hadi kuja kuandika uzi.
Nb: tafuta kazi halali otherwise setting default ya hii nchi itakuletea Sonona.
be guided accordingly.
 
Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato wa kumpitisha ulinajisiwa na kitokanacho na najisi ni najisi, hili siyo jambo dogo hata kidogo.
Hayo ni ya chama chao siyo ya katiba ya nchi.
Chama kina weza kukaa na kujadili au kufunguwa kesi dhidi ya Chama cha CCM, na ikiwa mahkama itaweka zuwio.
Hayo kama yaliyo tokea CUF.
Lipumba kuhalalishwa na mahakama wakati ameshajiuzulu
 
Sonona itakusumbua wewe ambaye unadhani Polepole ni mtu wa maana kisa kamponda Rais Samia
 
Umeongea ujinga,kama miundombinu kajenga anamuogopa Lisu kwa nn??
 
Inaonekana watekaji ni idara ndani ya serikali ya ssh. Unaona anayemkosoa rais hutekwa. Haiwezekani mtekaji akawa nje ya chawa wa mama. Kuua,kuteka,kutisha watu ni dalili ya hofu kubwa ya kutokubalika sasa analazimisha kukubalika.
 
Alichofanya polepole kinaweza kuwa sawa ila sio kwa wakati huu mkumbuke msimamo aliokuwa nao kwenye bunge katiba halafu haya anayosema hata kwenye serikali iliyopita baahi yalikuwepo mbona hakusema ukiamua kuwa msafi usiguse matope
 
Alichofanya polepole kinaweza kuwa sawa ila sio kwa wakati huu mkumbuke msimamo aliokuwa nao kwenye bunge katiba halafu haya anayosema hata kwenye serikali iliyopita baahi yalikuwepo mbona hakusema ukiamua kuwa msafi usiguse matope
Wakumbushe mkuu.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…