Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

We nae...

ID fake, acha watu watoe mastress yao hapa, unataka wafe na msongo wa mawazo wakati wakuwashauri wapo.
Nyuma ya I'd fake Kuna mtu halisi.

Hapo hakuna cha kumshauri,nyuzi za mapenzi ndiyo zinaongoza kwa uongo(chai). Mtu anakaza kabisa anawadanganya watu humu eti mke wake analia Huku 'anasaga meno' na yeye njemba akaunga kilio nae anasaga meno.

Hii si chai ya waziwazi kabisa? Au kisa I'd fake ndiyo tunazifanyia "content creating?"
 
Unauhakika gani kama ni chai...?

Penye uongo na ukweli upo.
 
Kuna Sheria Mbili katika maamuzi ya Ndoa yako yalipofikia Sio sio Muhimu Sana ni Lazma kufanya mazingatio..
  • Usimsamehe kwa Sababu umemhurumia..
    • Msamehe kwa sababu umeona Amekiri kosa na katubia na una hakika Hawezi kurudia na kosa lenyewe Liwe Kubwa kiasi cha kutaka kumpa hiyo talaka (Lisiwe kosa la uonevu au Mabavu ya kiume tu)
  • KAMWE USIMWACHE MWANAMKE UNAYEMPENDA NA KUMJALI
    • maana ni sawa na kujitesa mwenyewe..
NAkutakia Ndoa njema na Kusamehe Kunaruhusiwa Ila sio kwa kesi ya Uasherati na Uzinifu
 
Mwanaume anaelialia ovyo nikilia mhhh huyo hapana ban.
Mie nataka nikilia nibebwe juu juu nikachapwe Zaid nilie Zaid.

Mrudie mkeo anzeni upya
 
Umeweka neno limeshiba sana, karibu tupige Skanka mkuu,
 
MDA WA JIONI KUNA WALIOSHIBA FUTARI AU WALIOPO BAA WANAANZA KULETA TABIA ZA UVCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…