Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

Sio kesi mkuu
 
Una umri gani wewe? Mna watoto? Na mara ya mwisho kumtia ni lini?
 
If idumu😅😅
 
Km umeshamwacha unamwitaje tena mke? Ujue siye si wehu km wewe
 
Nakazia mwanamke anae Lia usithubutu hata kumsikiliza kimbia MITA 5000
 
Umemiss kupigwa na kutukanwa mpaka unalia na kusaga meno au mie sijaelewa?? 😵
 
Kwanza huna uwezo wa kumuacha ,pili huna sababu za msingi za kumuacha ndio maana unajiongelesha hapa.
 
Na wewe lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…