Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Poa sana Bro.

Nakumbuka nilienda 2021 kipindi kama hiki, nililala kwa 90k per night kama sijakosea. Wana free breakfast. Ila wanapika lunch na dinner kwa special order ila bei za moto sana.

Kwahiyo mnaweza kufanya hivi, mkatoka Dar asubuhi mfano saa 4, mkafika pale by saa 6 mkachukua room. Kuanzia saa 8 mchana mkaenda Snake Park ipo uko Bagamoyo kuna misosi, na kuna zoo mtajifunz something.

Hafu mkarudi Mkalala. Kesho yake after breakfast na ku checkout mkaenda kanisa kongwe mkapata historia kidogo ya Bagamoyo hadi mchana mnakua mmemaliza. Mkianza safari mnarudi mnapitia Beach za Ununio mnapata msosi na upepo hafu usiku mnarudi Dar.

Naona budget kila kitu inafika 200k kuanzia mafuta.

Tukirudi kwenye a day vacation ya Bagamoyo na kulala hapo Firefly is it Worthy? Mi ningesema NO. 200k kubwa sana..

Nikupe second option?
 
Second Option.

Kama haujawahi kwenda Ushoroba (Pugu Natural Forest) ungeenda. Mkafanya camping. Gharama zote na mafuta kutokea Dar haitazidi 100k maximum kabisa kabisa.

Activities:
Mtafanya Hiking, mtaendesha boat, mta walk katika nature, very beautiful view, mtalala kwenye tent, usiku mtakua na bonfire, hafu hakuna network ya kuingia TikTok labda ya kujibu SMS na kupokea simu kwahiyo mtakua busy kuongea like old times, mkiweka order mtachoma nyama.

Gharama: kuingia, tent, ulinzi jumla approximately 40k, kasoro msosi. Mtaenda mmenunua juice, maji, na mtaenda na mashuka mawili.

The rest gharama za kula tu ambazo chakula sio expensive maana kinatoka Kisarawe kinaletwa na boda elfu 2 boda.
 
Hehehe.... umejuaje broo!!
Hapa nilikua nasoma hizo gharama huku nang'ata meno 😅😅

Nipe second option bro. Yenye cost-effective nasepa nayo hiyohiyoo
 
Sasa kulala kwenye tent usiku, vipi kuhusu Wanyama wakali? Nyoka?
 
Hehehe.... umejuaje broo!!
Hapa nilikua nasoma hizo gharama huku nang'ata meno 😅😅

Nipe second option bro. Yenye cost-effective nasepa nayo hiyohiyoo
Nenda Ushoroba bro. Uta enjoy 100 times na hautajutia hela yako.

Ngoja nashare baadhi ya pic nilizopiga.

Ningekushauri uende camp Vikindu napo pana Natural Forest ila hamna activities nyingi. Nilienda camp last week hapakua pazuri sana.
 
Nimecheka 😂😂😂

Pako salama, TFS (Tanzania Forests Service) ndio wanapashikiria. Izo ni Forest Reserve hakuna wanyama wakali, ni usalama 100%.

Try it. Nasema uta enjoy.
Asante sana.

Last question: hizo tent zinakua na godoro/mito kwa chini.
Wanaruhusu kulala wawili ndani ya tent moja?
 
Asante sana.

Last question: hizo tent zinakua na godoro/mito kwa chini.
Wanaruhusu kulala wawili ndani ya tent moja?
Ndio. Kuna Magodoro mazuri kabisa ila mito mi uwa nabeba.

Mnaruhusiwa kulala ndio wawili (couple), zipo tent kubwa hadi za watu 10 zile ambazo mnaenda kama group.

Unaweza chukua tent ambayo ipo juu mbao kama hii.

 
Hii naichuku
 
Njoo nkupe mimi show hatar
 
0654537771
 
Asante sana.

Last question: hizo tent zinakua na godoro/mito kwa chini.
Wanaruhusu kulala wawili ndani ya tent moja?
Ukiwa tayari nitaweka namba ya moja ya tour guide wa pale. Ili kuwauliza zaidi na kuweka reservation mfano ya tent.

PS: Kama unapenda sport fishing (kuvua samaki) pia ipo.
 
🤣🤣🤣mmeshindwa out..ombana huko ndani kwenu hotelin mtaweza?si atakesha kaunta ya hotel🤣🤣
Jamaa hana nguvu za kiume that's y kajificha kujichatisha hovyo🤣🤣joka la kibisa hilo
Tafuta mwanaume akutoe genye hizo
 
Ndio. Kuna Magodoro mazuri kabisa ila mito mi uwa nabeba.

Mnaruhusiwa kulala ndio wawili (couple), zipo tent kubwa hadi za watu 10 zile ambazo mnaenda kama group.

Unaweza chukua tent ambayo ipo juu mbao kama hii.

View attachment 2746351

Nice....
One shot, msalani inakuweje? Kuoga je? Bafu... au ndo mkilala usiku mnaingia na kandoo kwa kujisaidia hadi asubuhi?

Tochi muhimu kwenda nayo ama umeme upo? Kuna wale wakimaliza mbio za horizonto wanataka waoge na huwa zinakimbizwa usiku, sasa utoke kwenye tent na giza bafu au ndoo au ndo kujitupa mtoni...??

Kulala na jasho la mbio na ukwaro wa kati jau...😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…