Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Poa sana Bro.Habari Mad Max.
Samahani, nishauri kitu.
Nafikiria kwenda a single day vacation Bagamoyo na girlfriend wangu.
Nimeona wewe mtu wa pili unaitaja hii hotel. Ushawahi kufika? Ni pazuri eeeh
Niandae bajeti kiasi gani roughly kwa vacation ya siku moja. Yaani tunaenda Leo, tuna spend our good time. Then tunarudi kesho yake mapema.
NB:
Wote hatunywi pombe. Ni vyakula tu na soft drinks. Nina private car.
Sababu ya vacation:
Manzi amemaliza field. Wakati anajiandaa kurudi chuo October nataka nimtoe out moja ambayo ata refresh mind yake.
Nakumbuka nilienda 2021 kipindi kama hiki, nililala kwa 90k per night kama sijakosea. Wana free breakfast. Ila wanapika lunch na dinner kwa special order ila bei za moto sana.
Kwahiyo mnaweza kufanya hivi, mkatoka Dar asubuhi mfano saa 4, mkafika pale by saa 6 mkachukua room. Kuanzia saa 8 mchana mkaenda Snake Park ipo uko Bagamoyo kuna misosi, na kuna zoo mtajifunz something.
Hafu mkarudi Mkalala. Kesho yake after breakfast na ku checkout mkaenda kanisa kongwe mkapata historia kidogo ya Bagamoyo hadi mchana mnakua mmemaliza. Mkianza safari mnarudi mnapitia Beach za Ununio mnapata msosi na upepo hafu usiku mnarudi Dar.
Naona budget kila kitu inafika 200k kuanzia mafuta.
Tukirudi kwenye a day vacation ya Bagamoyo na kulala hapo Firefly is it Worthy? Mi ningesema NO. 200k kubwa sana..
Nikupe second option?