Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anachati nao tu??Surely!!!!
Ndiyo nikauuliza...Umedhibitisha vipi juu ya hilo?
Usemayo nikwelikabisa mkuu,aslimia kubwa yawanaodai hawana nguvu zakiume nimaswala yasaikologia Kwa Dunia yaleo ,wanawake wanachangia kuwafanya wanaume wakose nguvu zakiume kutokana namazunguzo Yao yasiyokua yakutia moyo wanaume ,Amani huimarika kutokana namuunganiko wakihusia baina ya wanandoa.Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.
Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.
Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafululiza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa mwenyewe hata habari hana, halafu unatarajia mtu achiukue zaidi ya dakika 1.
Nyie ndio waharibifu,hicho kipoozeo kipo nawe sababu ya mteremko,upigwe chini sasa uone kama kitakuwepoWanaume kwa kupenda kudeka na kujiendekeza! Yaani mkosee nyie na bado mbembelezwe. Kuuumbafuuu.
Unamuendekeza sana huyo mwanaume, na ashakuona zuzu ndio maana anakufanyia visa. Tafuta kipoozeo kuwa busy na mambo yako na watoto.
Usingle mother mnautafutaga wenye6,then mnaenda msumbua Mwamposa,Inabidi ufikirie kuoutsource huduma ya sex la sivyo itakupa shida. Ila angalia tu usije kulowea humo sasa.
Kivipi babu?Usingle mother mnautafutaga wenye6,then mnaenda msumbua Mwamposa,
Ulikosea saana kumtamkia maneno hayo, hii pia inaonesha hata mwanaume wako kushindwa kuperform inategemea nawewe mwenyewe the way unamtreat, pia inaonekan ur not active kwenye sex pia inaoneakana wewe ni mtu mwenye majibu saan.Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Kutafuta vipoozeo nje ni lzm za mwizi ni 40 talaka ndo kifuatacho.Aibu Sana kuachika kwa kuchepukaKivipi babu?
Hapo ni yeye na akili zake sasa. Au anyetuke kama tatizo litakuwa sugu.Kutafuta vipoozeo nje ni lzm za mwizi ni 40 talaka ndo kifuatacho.Aibu Sana kuachika kwa kuchepuka
Kikiota mbawa usiende kwa Mwamposa kutia huruma,wengi wao pale waliyakoroga wenyewe baada ya kutoijua thamani kablaHapo ni yeye na akili zake sasa. Au anyetuke kama tatizo litakuwa sugu.
Hizo ni options na yeye awe tayari kuzivaa consequence za maamuzi yake,Kikiota mbawa usiende kwa Mwamposa kutia huruma,wengi wao pale waliyakoroga wenyewe baada ya kutoijua thamani kabla
Hapo sasa mamii ukae kwa kutulia ungoje kuletewa watoto wa umri sawa na ulionao hapo kutoka kwa michepuko yake.Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Hakuna cha ukweli, pumba tuWanaume wataruka ruka sana hapa ila huu ni ukweli mchungu
Hii ya kupekua simu ya mume kuna mdada ndo ilikuwa zake sa kumbe mmewe alikuwa anapewa ndogo na michepuko na malaya huko basi bwana kuna siku bidada akakuta sms mmewe anaitwa akanyewe. Hii kesi ilienda kumalizwa na baba parokoKwanza kaa mbali na simu ya mumeo, itakunyima amani bure, mimi binafsi nachat na wanawake, ni kitu napenda sana, hunipa raha fulani hivi, yaani vigumu hata kueleza, kunao nimechat miaka na sijawahi kuwagusa kimapenzi, tunapelekeshana tu humo humo kwenye chat.
Mke wangu kwa kiherehere chake aliwahi kuzisoma baadhi ya SMS zangu akaibua mtiti wa ajabu ambao hatujawahi kupona tukarudia kama awali.
Wanaume wengi tuko hivyo, hauwezi kutuzuia kuchat na hawa malkia, ila haimaanishi sikupendi kama mke wangu, japo huwa tunachat kwa siri, sijui uboya wa huyo mumeo mpaka akuonyeshe anavyochat na wanawake wengine, nahisi naye kazidi mpaka ikawa dharau sasa.
Pia kwako wewe kumtamkia kwamba yeye mtu wa dakika moja kitandani ni jambo mbaya sana, wanaume sisi ni watu wa viburi, tunapenda kutunisha misuli na kujiona mabingwa, sasa ukija kutushusha hicho kiburi utatumaliza.
Hiyo ndoa yenu ina matatizo na mnapaswa aidha mshauriwe au mkae chini muongee.
Lakini pia mumeo atafute ushauri wa namna gani ya kuridhisha mwanamke kitandani, kuna kipindi nguvu zangu zilikua zimepungua ila nilifuata mbinu fulani fulani mpaka nikaja kuwa simba tena, leo hii mke na michepuko yangu hawana hamu na mimi maana nawakamata hadi wanaomba po!