Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
Wanaume wasio jielewa kama huyo wakwako wapo wengi sana, pole sana dada, nenda kwa aliyewafungisha ndoa mwambie unaishi na mayai ya jogoo nyumbani na sahizi yanaelekea kuwa mayai viza.
 
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Hakuna ndoa hapo utavumilia hii kitu mpaka lini? Kwani ndoa utumwa? Kuliko kuchepuka bora muachane hapo hakuna maisha utapata mwingine
 
Ukimuheshimu mtu na yeye anapaswa kukuheshimu, km hakueshimu hupaswi kumpa hesjima.Huyo mume gajigeshimu na hapo ndoa ni ngumu sana km unaweza kujiondoa ondoka.
 
Jamaa amesha haribu ndoa hapo amedhamini michepuko kuliko mke wake, hii tabia ni mbaya sana , sumu ya ndoa ni michepuko
 
Hapo ndipo ulipo haribu hali ya hewa. Mwanamke unatakiwa kuwa number one Fan wa mumeo. Ukianza kumpiga vita unamuumiza sana na inamfanya apoteze hisia na ww kabisa na kukuona kama jiwe.
 
Unasema wiki wakati wengine mwaka unakatika na akiambiwa anasusa kama huyo mjinga badala yakutafuta tiba anasusa, sijui kwanini wanaoa wakaage na Mama zao wawapikiage tu.
Umeonaeee, mentality za baadhi ya wanaume wa kibongo huwa zinaona wanawake ndo wana makosa yaan mwanaume anafanya ushenzi mwanamke yeye ndo anazodolewa, syo fair kbisa
 
Wanaume wasio jielewa kama huyo wakwako wapo wengi sana, pole sana dada, nenda kwa aliyewafungisha ndoa mwambie unaishi na mayai ya jogoo nyumbani na sahizi yanaelekea kuwa mayai viza.
Ahahaaaa!!!!
 
Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.

Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.

Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafululiza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa mwenyewe hata habari hana, halafu unatarajia mtu achiukue zaidi ya dakika 1.
Mm pia naamin, tatizo la nguvu za kiume kama lipo, basi ni kidogo sana, confidence ikiondoka na tatizo linaanzia hapo, mengine mbwembwe tu
 
Mkuu lady in action njoo PM kama uko DSM, ili nipate mawasiliano yako kwanza, mkuyenge wa kutosha 9 inch, pia muda unajipimia, naunganisha
Perimeter 5.7 inch
Delaying 16 min
Activation 30s
from 1st ejaculation 52 min
Time lasting 8 hrs max

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Natania bhana, ila njoo PM,
Ulimuharibu Psychology mumeo, ila naye kama anamaliza kabla ya wewe kutetema kama Mayele anatakiwa kucharazwa viboko hadharani akiwa mtupu! Dah!

Pole sana
Ahahaha mkuu description kama box la Tv noma sana jf.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.

Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.

Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafululiza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa mwenyewe hata habari hana, halafu unatarajia mtu achiukue zaidi ya dakika 1.
Wapi huko wananyonya ubongo mkuu...?[emoji23][emoji23]
 
Atafute wa kusuuza roho yake huko aachane na huyo kisirani. M'ume wake angekuwa na busara hayo maneno yangemtouch baada ya hasira zao kupungua m'ume angekaa na mkewe wazungumzie jambo hilo jinsi ya kulitatua lakn cha ajabu m'ume kazira anajifanya kamind km demu huko hujengi ndoa bali unaisambaratisha..
Unajua inauma kiasi gani kwa mwanaume kuambiwa "show yako ni mbovu " ..? Ni sawa na nyie tukiwaambia nyapu zenu ninanuka kama Chinese zilizolala
 
Hizi ndoa zina mambo sana,ukisema ukweli unaonekana huna adabu.Pole kwa kunyimwa haki yako ya msingi.Jishushe tu uombe msamaha maana maji ukiyavulia nguo shart uyakoge.Jaribu kumrudisha mme kwenye line kama alivyokufundisha kungwii.[emoji16]
 
Back
Top Bottom