Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena

Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.

Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.

Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.

Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Achana nae njoo kwangu kwake uwe unalala tu, uje nikupe mambo
 
Umeharibu pakubwa sana na hii inaonyesha kuwa Hukufundwa vyema na akina Bibi au Shangazi.

Katika Tendo la Ndoa kwa Mwanaume hutawaliwa zaidi na Saikolojia hivyo ukiwa ni Mwanamke na ukikosea tu jinsi ya Kuzungumza nae jua Umeharibu na Utampoteza.

Ulichotakiwa kukifanya Kwake ni Kumfikishia Ujumbe kwa Njia ya Utani hasa mkiwa Mnafanya Mapenzi Mfano kwa Kumwambia Mume wangu Siku hizi hunipendi kwani unanifanya haraka haraka tofauti za huko nyuma au tumeshakuwa Wengi?

Na wakati unamwambia Kauli hii Kiutani huku unakuwa Unambusu huku na Kule na unacheza nae na ikiwezekana hata Kuusifu Uume wake kuwa Unaupenda hakuna mfano duniani kote.

Kwa kufanya hivi Kwanza kutamfurahisha zaidi Mwanaume na kwakuwa umemwambia katika tonation ( tone ) ya Utani nae pia atajishtukia Kimoyomoyo na Mzuka wake utampanda ghafla na atakufanya ( atakutia ) vyema huku akihakikisha kuwa anakufikisha Kileleni na hatimaye utakuwa Umeshatatua tatizo kwa Mbinu rahisi mno.

Na jitahidi ukiwa unamfikishia Ujumbe hata Sura yako nayo iwe ni ya Kiupendo na iliyojaa Tabasamu jingi na kamwe usionyeshe Sura ya Ukauzu ( Hasira ) Kwake kwani ukimwambia ukiwa Umenuna moja kwa moja kwa Akili za Wanaume wengi atajua kuwa umeshampata Mwanaume anayekutia vizuri zaidi yake hivyo unaweza hata Ukala Kofi la maana au Ngumi ya Dulla Mbabe na ukajikuta ICU huku Mlango wa Mochwari ukikutizama na ukikutamani pia uende huko.
[emoji23][emoji23]
 
Ushapoteza mume tayar, hiyo kauli hakuna mwanaume anaweza kuivumilia hadi anaingia kaburini...
Ni sawa yeye angekuambia unanuka uchi wakat wa kusex... Just imagine ungejisikiaje hata kama ni uongo...? Kuna kauli ikitoka imetoka hata uombewe msamaha na Yesu kamwe mtu hatakusamehe... Kwa mwanaume kumwambia hvyo ni dharau ya hali ya juu, na nikweli hatakuja kamwe kupata hisia za sex na wew, hata umfanyaje mkishaanza sex hiyo kauli inamuijia akili na network zinakata... PAMOJA NA UPUUZI WAKE HUKUPASWA KUMTAMKIA HAYO...
Wanawake kuna mambo madogo madogo mnafeli, ukweli ni kwamba Wanaume nje ya ndoa zao wanapiga show babu kubwa kiwango cha lami, tatzo wakirud ndani mke analeta mapenz na sex za kisabato (somo pana hili tutaelekezana next time)
Ungerekebisha tatizo
Unawahi hosp unatibiwa

Dharau zingine wanaume mnasababisha
Hutimizi ndani afu unachepuka hadi mke anakufumania..lazima udharaulike
Ni kama kutotoa matumizi ndani na huduma zingine heshima itashuka tu
 
Huyo mwanaume akirudia kukupenda kama awali ndani ya miaka 7 ijayo niite mbwa naomba hii comment uiweke lamination..

Nadiriki kusema 50% ya wanaume ukiwaambia hivyo ndoa inakuwa imekufa huku mpo ndani ya ndoa.Umefanya moja ya makosa makubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sijuiiii yaani sijuiiii km ndoa ipo tena hapo au ndo itabaki kulea watoto..

Binti nikusaidie tu mwanamke ni muamasishaji mkuu wa ngono popote pale Mfano Bar atavaa kimini mwanaume ataona paja atavutiwa, atashawishika kuwaza ngono,kanisani sketi ya mpasuo,ofisini kifua anaacha wazi mwanaume anatamani .Mwanamke akiacha kazi yake ya kuhamisha ngono ndani ya ndoa mwanaume ana poteza interest bahati mbaya wanawake wengi wakiolewa hilo ndo la kwanza anaacha kufanya.Atafanya kila njia ionekane ngono ni jukumu la mwanaume kuanzisha na kuhamasisha sasa hapo ndo shida inaanza.

Si kweli kwamba mumeo uwezo wake ni bao 1 niamini mimi si kweli kabisaaaa huyo akipata mwanamke muhasishaji ngono anapiga 4 na bado unakuwa na hamu.Hii ni siri ndogo sana ila ukitaka kumtawala mwanaume make sure kwanza umeolewa na mwanaume anayekupenda,Pili make sure unakuwa mhamasishaji mzuri wa ngono akyamungu huitaji uchawi kumtawala mwanaume.Mimi ni mwanaume nakupa Siri hiyo.

Sitetei yeye kuchati na wanawake wengine ila wake zetu hawa kuna kipindi unaweza ku doubt uwanaume wake yaani uwaga ngono kwao ni km sio lazima.

Sasa msala wako huo sijui km utatoboa yaani sijuiiii
Unamhamasisha mwenza msaliti?

Inaondoa hamu kabisa

Ukitaka kuamii usaliti sumu subiri upigwe tukio uone kama una hamu na huyo mtu
 
Ungerekebisha tatizo
Unawahi hosp unatibiwa

Dharau zingine wanaume mnasababisha
Hutimizi ndani afu unachepuka hadi mke anakufumania..lazima udharaulike
Ni kama kutotoa matumizi ndani na huduma zingine heshima itashuka tu
sasa hapo hajasema tatzo ni mume wake kukosa nguv... All in all huwez kutoa maneno ya kejeri kwasabab tu mwenza wako amekukasirisha... Kuna maneno ukiyatoa make sure mna achana hapohapo
 
sasa hapo hajasema tatzo ni mume wake kukosa nguv... All in all huwez kutoa maneno ya kejeri kwasabab tu mwenza wako amekukasirisha... Kuna maneno ukiyatoa make sure mna achana hapohapo
Ila kufanya usaliti ni sawa sio?

Nafikiri kadhia kubwa ya mke ni kuona anapunjwa afu nje mtu anakitembeza
Inaudhi

Utadhani mna jeuri ya kuachana kama mnavyoandika hapa
 
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena

Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.

Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.

Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.

Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Sasa ww hutaki kuchati naye kimalaya si Bora usaidiwe

Chati naye ndo jawabu lako

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Iko hivi wanawake wengi wao akishaolewa tu anarelax sana na kupunguza care na hasa akishazaa ndo kabisa. mume akitaka haki yake anapigwa kalenda kwa visingizio vya hapa na pale. mara leo sipo kwenye mood mara hivi mara vile. sasa hali hii ikiendelea inafika wkt akili ya mwanaume inaona HUYU SIO WANGU TENA!

Ikishafikia hapo ujue huyo mume umeshampoteza japo anaweza asikuambie! Lakini hisia zake unakuwa umezizimisha. Hapo ndo unakuta watu wanatoka nyumba moja kumbe mwingine alilala sebuleni mwingine chumbani au hata km wanashea kitanda kimoja hakuna anaemsogelea mwenzake. wanawake mnaua hizi ndoa zenu wenyewe!
 
Kuna mwingine anakuwa na tatizo yeye kama yeye, mke wake anakuwa vzuri tu lakin mwanaune anazingua. Sema wanawake kwenye ndoa ndo wanaonekanaga wana hatia muda wote
 
Hakuna kitu kibaya km kumwambia mwanaume hakuridhishi hats km ni mpenzwako unamuondolea hisia kabisa
Ungetumia busara tu kumuelekeza unachohitaji ufanyiwe kunanjia nyingi za kufanya hivo
 
Iko hivi wanawake wengi wao akishaolewa tu anarelax sana na kupunguza care na hasa akishazaa ndo kabisa. mume akitaka haki yake anapigwa kalenda kwa visingizio vya hapa na pale. mara leo sipo kwenye mood mara hivi mara vile. sasa hali hii ikiendelea inafika wkt akili ya mwanaume inaona HUYU SIO WANGU TENA!

Ikishafikia hapo ujue huyo mume umeshampoteza japo anaweza asikuambie! Lakini hisia zake unakuwa umezizimisha. Hapo ndo unakuta watu wanatoka nyumba moja kumbe mwingine alilala sebuleni mwingine chumbani au hata km wanashea kitanda kimoja hakuna anaemsogelea mwenzake. wanawake mnaua hizi ndoa zenu wenyewe!
Umewasahau na wale wamama wapenda maendeleo Yan akiongea na mumew ni kuhusu biashara maendeleo Hana hata muda wa kuongea na mumew kimahaba Wala kumwambia mumewang nakupenda wanajikutaga wameolewa sabbu ya ugenius wao
 
t
Kwanza muombe samahan,, pia mwambie tu kuwa waga unaridhika ila tu ulimtamkia vile ili aache tabia yake mby ya kuchart na hao malaya wake baada ya ww kumuonya ila hasikii,, haikuwa kusdio lako,,ukiona amekaa sawa sasa jaribu kumutengeza ili akuridhishe kwene tendo,,,

Jaribu kumwambia ili uridhike vizr mme fanya hiv na hiv ww unavyojifeel,,, maana hakuna mtu yyte atakae kuja kukusaidia ili ww ulidhike nje na ww mwenyewe... pengne labda uanze kuchit,, na sikushuli uanze huu ushetan wa kuchit nje ni mbaya sana,, inawezekana kabisa ukamfanya mmeo akakuridhisha kabisa kupitia maneno yako utakayo mwmbia....
tatizo wote wapo jf hivyo mnavyo mshauri na msela anasoma vizuri tu na hapo ndio suluhu inakuwa ngumu zaid yaan maana mwanaume atakuwa amesha jua huu ni ushauri wa Jf sio uhalisia wa mke wake
 
Back
Top Bottom