Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana jaribu kukaa na kuongea naye kwa kina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pm ndio sina muda nako kabisa una ushaur niambie wazi, kama tusi nitukane hapa Ili niponeNaona wanaume wenye tamaa mafisi wanatumia kigezo hicho cha udhaifu wako kukuita pm
Wanakosea inabidi wakuweke sawa kisaikolojia embu njoo piemu tuone tunafanyaje
Wapi huko ambako sifiki? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nipo na kusubilia
Njoo pmwapi huko ambako sifiki? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naunga mkono hojaKama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.
Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.
Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafululiza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa mwenyewe hata habari hana, halafu unatarajia mtu achiukue zaidi ya dakika 1.
Njoo kwangu mamyNadhan haujanielewa nimeandika kwa madai yake anachati nao tu
This even proves more of your bad negotiation moves 😂!
Mume ni mtu special and you have to ensure that you give him that impression each and every moment. Labda unajiuliza kwanini mumeo ha flirt na wewe zaidi but kimsingi ni kwamba hauna skills za kumshawishi. You are using a wrong approach ambako unatumia force kwa kuona una hati miliki na hisia zake without making any efforts unataka awe na hamu na wewe akugonge uridhike.
Badili approach kwa kuomba samahani sana juu ya kosa ulilotenda na ujutie kweli. Kisha acha domo chafu penda kutumia kauli za kubembeleza kama mtoto.
Anaonekana ana mdomo mchafuAf ana makasiriko wenzie wanaomvutia wakiflirt nae😂😂😂
Vunja mji ukadange vizuriIko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Dah![emoji848]Kuna Jamaa mmoja aliambiwaga na Mkewe kuwa hana nguvu za kiume sababu kashakaa na Mkewe kwa zaidi ya miaka miwili hajamjaza ujauzito.
Jamaa alimfukuza Mkewe papo hapo, akakaa kama baada ya mwaka mmoja, akakutana na Binti mwingine kimahusiano baada ya mwezi mmoja tu tayari Binti ashajazwa kitumbo na kamzalia kidume.
Baada tu ya Mtoto kukua kwa baada ya miaka miwili Jamaa alimwacha yule Ke na alimchukua mwanawe na anaishi naye hadi sasa yuko darasa la 6 na bado kaathirika kisaikolojia hataki kabisa swala la kuoa Ke yeyote yule.
Hakuna cha kisaikolojia, huyo dada anapenda dudu. Hivyo ni sawa kabisa kuitwa pm.Naona wanaume wenye tamaa mafisi wanatumia kigezo hicho cha udhaifu wako kukuita pm
Wanakosea inabidi wakuweke sawa kisaikolojia embu njoo piemu tuone tunafanyaje
Unasema wanaume wengi show mbovu, Sasa huko nje ataenda kuwapata wapi wenye show nzuri? Kwa hiyo atakua analala na wanaume wa kila aina ili kutafuta anayeweza kumridhisha?Nimefuatilia comment zenu Kwa Makini wengi mmesema kweli dada yetu amekosea,lakini pamoja na hayo kiukwel wanaume wengi kwenye tendo la ndoa tunazingua ni kwamba Tu hatuambiwI ukweli,lkn wengi wetu show mbovu.
Sasa kuna hasara ya kutoambiwa ukweli,maana yake mkeo ataenda kuchapwa nje na wakali wa hayo mambo,lkn mwanamke akikwambia ukweli itakusaidia kufanya maboresho na hatimaye kupiga show show,ingawa ni hekima uambiwe ktk namna nzuri,sasa huyo jamaa ingawa kaambiwa Kwa namna INAYO chukiza lkn angerudi nyuma na kuhakikisha anaweka mambo Sawa.
Lakini naona huyo mwanaume tayar hakuwa na interest na mkewe na ndio maana alifikia kufanya upuuzi wake wazi kabisa Yan kama mbwai mbwai na ndio maana kile kitendo cha kuambiwa Tu ndo ikawa kama sababu ya kususa kabisa,dada yangu kuna watu wametoa ushauri mzuri Sana,ufanyie kazi,jishushe,jipendekeze ili jamaa awe poa,mwambie ulitamka kutokana na hasira na kuona wivu labda wale ambao chat nao wanamfanya asikutamani na mengine utajazia hapo.
Sambamba na kumtumia msg kuonyesha jinsi gani unammiss mambo yake wakati yupo kazini,usitarajie atabadilika ghafla inaweza mchukua Muda kidogo lkn wewe endelea Tu baada ya Mda Fulani naamini atakuwa Sawa,jiweke kimvuto zaidi na heshima izidi kwake,Sisi bwana mbavu Tu hizi lkn ni wazaifu Sana ukijua namna ya kutukamata,hujachelewa bado pigania kilicho chako
ACHANA NA HILI ANDIKO, makosa afanye yeye halafu mwanamke aonekane mpumbafu? Uonevu sasa huo.MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE
Unasema wiki wakati wengine mwaka unakatika na akiambiwa anasusa kama huyo mjinga badala yakutafuta tiba anasusa, sijui kwanini wanaoa wakaage na Mama zao wawapikiage tu.Dah mambo mengine yanahitaji ujasiri sana. Hivi mi naweza kumaliza hata wiki sijamla mke wangu? Aisee hata aniambie nini