Kwa fikra zangu usuluhishi katika ndoa unatofautiana baina ya dini na dini au tamaduni, fuata taratb za dini yako, halafu hapa huwezi kuambulia chochote katika ushauri, kwa sbb inabidi huyo mumeo nae aje atueleze stori ya upande wake, kwa sbb huenda hana hamu na ww kwa sbb hujui mapenzi, au mchafu, au hajajakuta bikra and may be alidhani hivyo, au n.k ,Kwa hio dada kaa na mumeo na asipo kuelewa rudini kwa wazz wako ikibidi imeshindakana hakutaki basi jivue tu kwake maana yy sio roho kusema ukijiondoa kwake utakufa