Nimefuatilia comment zenu Kwa Makini wengi mmesema kweli dada yetu amekosea,lakini pamoja na hayo kiukwel wanaume wengi kwenye tendo la ndoa tunazingua ni kwamba Tu hatuambiwI ukweli,lkn wengi wetu show mbovu.
Sasa kuna hasara ya kutoambiwa ukweli,maana yake mkeo ataenda kuchapwa nje na wakali wa hayo mambo,lkn mwanamke akikwambia ukweli itakusaidia kufanya maboresho na hatimaye kupiga show show,ingawa ni hekima uambiwe ktk namna nzuri,sasa huyo jamaa ingawa kaambiwa Kwa namna INAYO chukiza lkn angerudi nyuma na kuhakikisha anaweka mambo Sawa.
Lakini naona huyo mwanaume tayar hakuwa na interest na mkewe na ndio maana alifikia kufanya upuuzi wake wazi kabisa Yan kama mbwai mbwai na ndio maana kile kitendo cha kuambiwa Tu ndo ikawa kama sababu ya kususa kabisa,dada yangu kuna watu wametoa ushauri mzuri Sana,ufanyie kazi,jishushe,jipendekeze ili jamaa awe poa,mwambie ulitamka kutokana na hasira na kuona wivu labda wale ambao chat nao wanamfanya asikutamani na mengine utajazia hapo.
Sambamba na kumtumia msg kuonyesha jinsi gani unammiss mambo yake wakati yupo kazini,usitarajie atabadilika ghafla inaweza mchukua Muda kidogo lkn wewe endelea Tu baada ya Mda Fulani naamini atakuwa Sawa,jiweke kimvuto zaidi na heshima izidi kwake,Sisi bwana mbavu Tu hizi lkn ni wazaifu Sana ukijua namna ya kutukamata,hujachelewa bado pigania kilicho chako