Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee upo sahihi kabisa ,niliwahi mwambia X wangu hiki kitu hakuniamini,kutokana na ile ideology iliyoko kichwani mwake kuwa siwezi kazi basi kila nikikutana naye jogoo hawiki kabisa na akiwika simaliz hata dakika 2 nisha toa wazaramo.Lakini the same act nikichepuka napiga show ya kibabe hadi 20mnts hatari.Kweli umenena na kunikumbusha mbaliTiba ya saikolojia ya mume ni mke wake. Mke akiwa na kauli chafu kwa mume ugeuka sumu uondoa upendo uzalishaji kibamia, na goli dhaifu
Huu ukweli wengi mnaujua ila kinachowakosti ni kukaza ubongo tu😂😂😂!Kitu ambacho wanawake wengi tunafeli ni kuja juu, wanawake tunaongea sana jamani..... Ukigombana na mume wako au ukimfumania muite ongea nae vzuri kwa upendo atakuelewa lkn ukianzaa ooh ww usimamishi sijui nn tatizo litazaa tatizo.
Sis wanawake tunaweza kutosheka na mwanaume mmja lkn wanaume awawez kutosheka na mwanamke mmja kila siku atataka abadilishe apate mpya
Kitu tunatakiwa kufanya ni kuwahimiza wanaume zetu kutembea na condom hilo ni muhimu zaid
Mnhh!!Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
Kwa kauli aliyotoa kwa mumewe hii inaashiria dhahiri ni aina ya watu ambao ni hard negotiators. Hata treatment ya huko awali haikuwa nzuri, nina wasiwasi ni mwanamke mlalamishi sana. Hii tabia ni major turnoff kwetu wanaume na kimsingi huwezi kuwa na hamu na mwanamke ambaye kila unalofanya kwake si kitu anakulalamikia tu over a bunch of stuff.Ngumu kumeza hii,, nikupe pole mno inaumiza kuliko kawaida unajitunza na kumuheshimu lakini yeye hana muda na wewe kabisa,
This even proves more of your bad negotiation moves 😂!Kisa nimekwambia ukweli? Au kisa nn??
Mi nilishazoea iyo hali hasira zinakuja mtu ndan hamfanyi unavumilia tu kumbe mwenzio wanawake kila kukicha
Bàsi angekua fair nje anafanya na mimi ananifanya naridhika wala isingekua kesi
Af ana makasiriko wenzie wanaomvutia wakiflirt nae😂😂😂Humvutii.
Haya maandishi yawekwe strong roomKitu ambacho wanawake wengi tunafeli ni kuja juu, wanawake tunaongea sana jamani..... Ukigombana na mume wako au ukimfumania muite ongea nae vzuri kwa upendo atakuelewa lkn ukianzaa ooh ww usimamishi sijui nn tatizo litazaa tatizo.
Sis wanawake tunaweza kutosheka na mwanaume mmja lkn wanaume awawez kutosheka na mwanamke mmja kila siku atataka abadilishe apate mpya
Kitu tunatakiwa kufanya ni kuwahimiza wanaume zetu kutembea na condom hilo ni muhimu zaid
Kwani lazima aolewe aachane nae anunue DidoInawezekana kweli anachat na wanawake wengi wengi ili kujimwambafy kwamba anaweza japo anajua hana uwezo mkubwa wa kuhimili mchezo so anatafuta satisfaction kihisia kwa wanawake tofauti tofauti. Hapo ulipomwambia anafanya dkk moja umeuaa yani umemfedhehesha sana yani kama ni bomu umelipua makao makuu lazima akili iruke. Mi hata sijui cha kushauri maana wanaume wengine visirani
Na mumewe kamstahi tu kumwambia hali halisiAf ana makasiriko wenzie wanaomvutia wakiflirt nae😂😂😂
Mbona rahisi na wewe anza kuchati na wanaumeIko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena

Sema tu dada yangu naogopa ukiamuambia hivyi utaharibu kabisa ila ingekuwa ni yeye ameuliza ushauri huu tumpe wanaume wenzake ningemwambia je anajua mahali mgodi wa chumvi ulipo Tanzania yaani Uvinza? basi akishafahamu mgodi ulipo azame huko achimbe chumvi.Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake onesha kumpenda
Onesha kumpenda,mpikie vizuri,msifie awe na confidence,kua mtundu kitandani!..Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
Hapa ukwel mtupu,Mwambie ilikuwa ni hasira tu ndio maana nikajibu vile, samahani mpenzi kama nilikukwaza ila haikuwa maana yangu kufanya hivyo, mimi huwa unaniridhisha sana ila nina wivu sihitaji mali yangu iliwe na mwingine.
Aah mengine utaongezea mwenyewe hapo kujazia nyama nyama za ulaghai hadi akuelewe, mapenzi ni ulaghai tu kitandani na sisi wanaume kinacho tufanya tunaswe na malaya huko mitaani ni ulaghai wao kitandani, mtu unamgusa tu shingo anatoa kimguno cha kimahaba na kulegeza jicho kama anataka kukata roho na hicho ndicho sisi tunataka yaani uonekane kidume mbele ya mkeo ila ukionekana kama kero basi hata ham haiwezi kuja tena.
Tatizo mabebe zetu unamla huku unapokea masimango kibao mara utasikia "eeh humalizi tu nawewe mi nimechoka, au fanya haraka bhana umalize tulale, mwingine una mla huku anakusimulia story za madeni yake", yaani full stress hadi mzuka unakata.
Ushauri wako hauja balance dada,ulipaswa ujue upande wa mwanaume kabla hujashauriNikuulize!!!
Unaweza vipi kusema huyo Mume wako anachart na Wanawake lakini hafanyi nao Mapenzi?
Nikushauri tu..Punguza kumwamini mtu sana...Ikiwezekana hata kivuli chako usikiamini kiasi hicho.
Huyo Mumeo ana mambo yake pengine huyajui,au unayajua kwa vile unampenda...Unavumilia...
Ulivyomuuliza huo ujinga wake ni kama umempa kisingizio na sababu ya yeye kujihalalisha na huo ujinga wake...
Mwisho ila siyo mwisho kabisa:Nikupe pole Mwanamke mwenzangu..Mimi sinaga ushauri kwa Wapendanao...lilishaga nipata jambo...Nilikoma.