Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
1. Kuna vyoo vizuri kabisa, na utaoga hapo hapo. Maji yapo yana flow kwenye bomba maana kuna ma simtank wanayaifadhi.Nice....
One shot, msalani inakuweje? Kuoga je? Bafu... au ndo mkilala usiku mnaingia na kandoo kwa kujisaidia hadi asubuhi?
Tochi muhimu kwenda nayo ama umeme upo? Kuna wale wakimaliza mbio za horizonto wanataka waoge na huwa zinakimbizwa usiku, sasa utoke kwenye tent na giza bafu au ndoo au ndo kujitupa mtoni...??
Kulala na jasho la mbio na ukwaro wa kati jau...😬
2. Umeme upo. Utachaji simu. Utaangalia movie ila sidhani kama utaenda na PC. Hakuna haja ya tochi. Labda ya simu yako kumulika ndani ya tent.
3. You are funny 🤣🤣🤣🤣