Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Mwenyewe anakataa hadi kesho hadi wimbo alitunga, aanzishe hiyo ili muanze kumsema?

Yule mwenzie wa Chorus sijui kaishia wapi masikini! Juzi kati Kusaga alijaribu kuwakusanya tena ila ndio hivyo too late.
Kukataa kwake ndiko kulipelekea akaumwa karibia afe, UKIMWI uone tu ivoivo....

Shida kubwa ya hilo dude linamaliza kinga, zinaweza kufika hadi zero ukikataa kumeza ARVs. Sasa kinga zikishuka sana ndiyo utajua hujui, hata wale normal flora wa kwenye mwili wako wanakugeuza kisusio na ndiyo.hapo utakonda ndani ya siku 2 na utazidiwa ghafla utadhani umeumwa miaka mingi..
 
Huwa mnajuaga mengine tu ok hilo tumuachie Dr wake
Unajua suala la afya ni tata, wengi wanasema kaungua lakini binafsi sina uhakika na hilo maana siwezi kuthibitisha.

Tofauti na hayo mengine mfano madanga ni suala ambalo linaweza kuthibitika maana wataonekana pamoja tofauti na afya ambayo ni siri yake na tabibu.
 
Kukataa kwake ndiko kulipelekea akaumwa karibia afe, UKIMWI uone tu ivoivo....

Shida kubwa ya hilo dude linamaliza kinga, zinaweza kufika hadi zero ukikataa kumeza ARVs. Sasa kinga zikishuka sana ndiyo utajua hujui, hata wale normal flora wa kwenye mwili wako wanakugeuza kisusio na ndiyo.hapo utakonda ndani ya siku 2 na utazidiwa ghafla utadhani umeumwa miaka mingi..
Yule hata kwa kumwangalia tu anaonekana tayari, ila ndio mbishi hatari.

Mungu aendelee kumpa maisha, ni mtu poa sana jamaa.
 
Haukuniewa tu kwenye uzi mmoja unaohusu wanawake kujua programming codes ulisema mnatembea na code za ubuyu

So nilimaanisha endelea kutupa burudani na hizo code za ubuyu
🤣🤣🤣🤣🤣 Kama ndio hivyo sawa Mkuu.

Ujue watu huwa wananisema nikiandika kama hivi waziwazi, wanataka nitumie codes ambazo sitaki.
 
Unajua suala la afya ni tata, wengi wanasema kaungua lakini binafsi sina uhakika na hilo maana siwezi kuthibitisha.

Tofauti na hayo mengine mfano madanga ni suala ambalo linaweza kuthibitika maana wataonekana pamoja tofauti na afya ambayo ni siri yake na tabibu.
Yeah ni kweli usemayo, danga ni live
 
Hili nalifuatilia, nitaleta updates.
Lakini si ndiye huyu huyu Irene aliyekwenda kwa nabii Malisa wakiwa na Gigy Money wakatangaza kuwa wameokoka baada ya kuvutiwa na nabii Malisa?

Hebu fatilia tujue kaokokea madhabahu ipi 😂
 
Sister Nifah wewe ni mtoto wa mjini tangu ile siku nakulilia unipe connection na huyo uwoya au aunt Ezekie kwa dau lisilozidi milion 5 ila upo kimya
Mimi hata sina huo utoto wa mjini Mkuu, ni ukaribu wangu tu na hao watu ndio wanaonipa taarifa za ndaaaani kabisa.

Ngoja tuone huenda Nelson Jacob Kagame akasaidia. Mcheki PM kama vipi.
 
Mbona alishasilimu? Hukuona pale nimesema aliolewa na Dogo Janja? Alisilimu kabisa akaolewa ndoa ya Kiislam!
Alisilimu kisha akaachana na uislam baada ya kugundua kuwa siku akifa hatagawiwa mabikira wa kiume huko peponi 😂

Mabikira watagawiwa wanaume tu 😂
 
Back
Top Bottom