Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe anakataa hadi kesho hadi wimbo alitunga, aanzishe hiyo ili muanze kumsema?Mmoja akaanzisha na ki taasisi cha figo, wakati mambo ya figo hayana pesa...
Angeanzisha ki taasisi cha UKIMWI angepiga pesa balaa...
Kanisa gani bado sijajua, ngoja nitafuatilia.huo wimbo nitautafuta. Kaokoka kanisa gani tujue, kwa manabii na mitume au wachungaji wa kawaida? Mara paap naingia kwenye kanisa anakosali, na yeye ndiye yuko mbele anaabudisha/praise and worship team sitashangaa sana nitaabudu naye tu nikijua naye ni chombo safi cha Mungu
Nimefuatilia sana huko kwa kiasi kikubwa ameacha, sasa hivi anapost kawaida tu.Vipi kule kwenye page zake ameacha kuposti mapozi pozi yake yale ya kimahaba? Hebu tuambieni uhusiano wake wa kindoa na dogo janja upo au haupo, lini hiyo ndoa ilivunjwa kisheria? Maana huko nako wapo wanaume watataka kumuoa isije ika dogo janja akaweka pingamizi ndoa isifungwe.
anazeeka na uzuri wake, atakuwa bibi/ajuza mremboUzee haupigi hodi
ila hawa wadada warembo/wazuri ni watata katika maisha yao ya kimapenzi na kirohoMkuu, kama huna ufahamu mzuri wa hizi habari za mjini uwe unauliza kwa upole.
Yule ni Jackline Wolper, huyu ni Irene Uwoya.
Haya nenda kafanye homework hiyo nimekupa.
makanisani wanaingia sana tu, mara kwa nani mara yule nabii wamealikwa kuchangia harambee za wanawake wa makanisa hayo na wanapewa heshima kubwa ila hawana ndoa stable za kuoeleweka. Wakiingia makanisani watafundisha nini kama si usingo mother wa kujitakia kama fasheni mpya ya maisha kwa wanawake?Kivipi Mkuu?
Wabishi watakuambia unatengeneza mazingira uwale vichwa watu 😂Tattoo hazizuii mtu kubadirika!
Ila kwasbb Huwa Zina spirit nyuma yake lzm apite kwenye mafundisho ya neno la Mungu km anamaanisha, na derivarence pia.
Kwann mkuu?Ameshapima figo? Akacheki figo kwanza.
Km kawaida, tunawaangalia tu 😂Wabishi watakuambia unatengeneza mazingira uwale vichwa watu 😂
Njaa tu, sasa hv atafumgua foundationWasanii bana
Ova
Kwa hiyo kaokokea kwa mwamposa au kwa Malisa ?Hahaha......matapeli hao wanaenda kuokoka kwa Mwamposa tu