Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
👍👍👍🤝Rahisi mnoo top big potatoes (top 3 leaders)[emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]
Wengine hao we kunjua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍👍🤝Rahisi mnoo top big potatoes (top 3 leaders)[emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]
Wengine hao we kunjua tu
Kabisa kabisa Yana Mwisho haya mbona!!!Tobaaa
Haya sawa, yaba mwisho
Acha tuwe watazamaji [emoji1787][emoji849]
Si ndo ugonjwa mpya wa watu maarufu? Figo zimefeli.Kwamba niniiiii? 🤣🤣
Nimefanyaje Mjukuu 😅🏃♂️🏃♂️🏃♂️Babu 🤣🤣
Hao kina lode km sponsors hawakuwa na buzznes card kazi wanayo, kuwadi kaokoka sasa.Hao madogo ndio wepiiiii? Akina Lorde Mich?
Mi ninachojiuliza tu, ataacha na yale ‘mengine’? [emoji12]
Ila useme mikorogo inawabeba, otherwise Value for Money pale ndogo sana 😅Irene hawezi kuacha kuvaa nguo fupi maana Ndo maisha yake yule
Afu kuokoka Kwa siku hizi kimchongo tu
Walimroga kisa anazeeka na utamu wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nifah,bongo movie na kurogana ni chupa na mfuniko etiii...
Wanaroga mnooo...mengine hatusemi tutafungua mambo ya watu ila sitashangaa km walimpiga chumaa...mwenzao
Kipindi anadate na wa mgodi ndo alikua anafanya kufuru ya pesa, kuzurura duniani.Kwanza alivorudi alimdate big potatoes,akarudi Kwa yule big fish Wa utopolo then akawa Kwa mshikaji mmoja tajiri mnoooo Yuko Kwenye migodi huyo ndo alikua funga kazi unaambiwa mshikaji alikua anatumia Dola tu na manoti vichenji chenji hanaga(niliambiwa lakini na mbea wangu)[emoji3][emoji3][emoji38]
Hahahaha..................alinambia eti ananionea huruma nitamfia kifuaniBabu hela zako zilipona kweli? Hukutamani kumpunguzia kibunda mtoto mzuri Uwoya?
Sio kurogwa tu,mambo mengi...Kipindi anadate na wa mgodi ndo alikua anafanya kufuru ya pesa, kuzurura duniani.
Ila akili kisoda hana hata sehemu ya kuegesha ubavu wake, lol
Sijui huwa wamerogwa khaaah
Mwanamke akitotoa tu kisha kuwa bibiMiaka 35? Sio mzee, bado mbichi.
Akifikisha 40 kama wenzie akina Kajala ndio halali kusema hivyo.
Huyo big potatoes ni nani jamani? Maana ilivuma sana anatoka na yule wa maokoto enzi zile kabla ya Mr. Yanga.Kwanza alivorudi alimdate big potatoes,akarudi Kwa yule big fish Wa utopolo then akawa Kwa mshikaji mmoja tajiri mnoooo Yuko Kwenye migodi huyo ndo alikua funga kazi unaambiwa mshikaji alikua anatumia Dola tu na manoti vichenji chenji hanaga(niliambiwa lakini na mbea wangu)[emoji3][emoji3][emoji38]
Yes, hilo nalijua na baba ake sio wa mchezomchezo shoga.Wolper Kwa za katoka maisha ya kawaida mnoo anapambana atoboe awe na Hela,Uwoya wa kishua since day 1 hanaga shida dingi ake alivostaafu alimtunuku naskia karibu mahela mengii sana na wako wawili tu na kaka Ake anajua kwao chenchi kiasi IPO ndo hahangaiki Kabisa