Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

Ukute ana tuandaa kisaikolojia kumbe amesha achwa na yule sponsor wake aliyekuwa anawapa pesa watambe na Wakina Aristote…..! Huyu atakuwa amesha achwa sasa anataka kujificha kwa kina mtumishi Donalita! 😂😂😂😂

Time tells
Sasa mbona kila mmoja amegoma kuupokea huu Wokovu wake? 🥹🥹

Lakini itakuwa sio mara ya kwanza, kuna kipindi alifulia kabisa ilikuwa balaa Aristote akamsema kwa mafumbo ilimuuuuma!

Sijui akaenda kuzisaka wapi huko alivyorudi akarudi palepale kwa Aristote, mjinga sana.
 
Upo juu aisee
Taarifa inajitosheleza. Sikuwa nafahamu yaliyomfika Uwoya lakini sasa naona kumbe alikumbana na balaa zito kabla ya uamuzi wa kumpokea Yesu
Asante, sigusi gusi… naandika.

Yes, haukuwa uamuzi wa ghafla, amekumbwa na mazito.
 
Nilishashindwa kuwatofautisha Jackline Wolper na Irene Uyowa (sijuwi Uwoya, not sure)... Yupi ni yupi? Huwa wananichanganya hivi mfanano wao. 😎

Hivi wote ni wachagga?

-Kaveli-
Wengi mlichanganywa na story line ya Oprah kwamba walikuwa wanafanana, ila hawafanani.

Huyu Uwoya mzuri zaidi ila akili ndio hana, Wolper yeye mzuri wa sura ila akili zimo na anapambana + kaolewa kabisa.
 
Back
Top Bottom