Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungua foundation sio njaa ndio maana unaona Mo foundation, Bill and Gates foundationIrene hana njaa bwana, labda jingine ila hakosi za kutumia.
Huwa mnajuaga mengine tu ok hilo tumuachie Dr wakeUgonjwa ni siri Mkuu, hata kama najua siwezi kuusema waziwazi.
Lakini kwa huyu sina ufahamu juu ya hilo, na zaidi sina uhakika.
Kukataa kwake ndiko kulipelekea akaumwa karibia afe, UKIMWI uone tu ivoivo....Mwenyewe anakataa hadi kesho hadi wimbo alitunga, aanzishe hiyo ili muanze kumsema?
Yule mwenzie wa Chorus sijui kaishia wapi masikini! Juzi kati Kusaga alijaribu kuwakusanya tena ila ndio hivyo too late.
Unajua suala la afya ni tata, wengi wanasema kaungua lakini binafsi sina uhakika na hilo maana siwezi kuthibitisha.Huwa mnajuaga mengine tu ok hilo tumuachie Dr wake
Yule hata kwa kumwangalia tu anaonekana tayari, ila ndio mbishi hatari.Kukataa kwake ndiko kulipelekea akaumwa karibia afe, UKIMWI uone tu ivoivo....
Shida kubwa ya hilo dude linamaliza kinga, zinaweza kufika hadi zero ukikataa kumeza ARVs. Sasa kinga zikishuka sana ndiyo utajua hujui, hata wale normal flora wa kwenye mwili wako wanakugeuza kisusio na ndiyo.hapo utakonda ndani ya siku 2 na utazidiwa ghafla utadhani umeumwa miaka mingi..
Haukuniewa tu kwenye uzi mmoja unaohusu wanawake kujua programming codes ulisema mnatembea na code za ubuyuSio aina yangu ya uandishi.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kama ndio hivyo sawa Mkuu.Haukuniewa tu kwenye uzi mmoja unaohusu wanawake kujua programming codes ulisema mnatembea na code za ubuyu
So nilimaanisha endelea kutupa burudani na hizo code za ubuyu
Yeah ni kweli usemayo, danga ni liveUnajua suala la afya ni tata, wengi wanasema kaungua lakini binafsi sina uhakika na hilo maana siwezi kuthibitisha.
Tofauti na hayo mengine mfano madanga ni suala ambalo linaweza kuthibitika maana wataonekana pamoja tofauti na afya ambayo ni siri yake na tabibu.
Sister Nifah wewe ni mtoto wa mjini tangu ile siku nakulilia unipe connection na huyo uwoya au aunt Ezekie kwa dau lisilozidi milion 5 ila upo kimyaHao madogo ndio wepiiiii? Akina Lorde Mich?
Mi ninachojiuliza tu, ataacha na yale ‘mengine’? 😜
Hahahaha,sidhani Irene atafikia level za kuchangiwa km wengine, ila akianzisha foundation ya kusaidia mabintiNilibase kwenye njaa zaidi Mkuu, sio hiyo foundation.
Ushapona U.T.I?Namba tano nae ni mshindi?
Ama kweli; ukipenda, chongo utaiona kengeza
Asilimu tu asijidanganye, hakuna dini nje ya Uislam.
Lakini si ndiye huyu huyu Irene aliyekwenda kwa nabii Malisa wakiwa na Gigy Money wakatangaza kuwa wameokoka baada ya kuvutiwa na nabii Malisa?Hili nalifuatilia, nitaleta updates.
Washamba hao sisi wengine hatupendi kufikiri sana bigup🤣🤣🤣🤣🤣 Kama ndio hivyo sawa Mkuu.
Ujue watu huwa wananisema nikiandika kama hivi waziwazi, wanataka nitumie codes ambazo sitaki.
Sio huyu Mkuu, yule ni Jack Wolper.Lakini si ndiye huyu huyu Irene aliyekwenda kwa nabii Malisa wakiwa na Gigy Money wakatangaza kuwa wameokoka baada ya kuvutiwa na nabii Malisa?
Hebu fatilia tujue kaokokea madhabahu ipi 😂
Mimi hata sina huo utoto wa mjini Mkuu, ni ukaribu wangu tu na hao watu ndio wanaonipa taarifa za ndaaaani kabisa.Sister Nifah wewe ni mtoto wa mjini tangu ile siku nakulilia unipe connection na huyo uwoya au aunt Ezekie kwa dau lisilozidi milion 5 ila upo kimya
Alisilimu kisha akaachana na uislam baada ya kugundua kuwa siku akifa hatagawiwa mabikira wa kiume huko peponi 😂Mbona alishasilimu? Hukuona pale nimesema aliolewa na Dogo Janja? Alisilimu kabisa akaolewa ndoa ya Kiislam!