Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Inawezekana ila asikimbilie kuwa karogwaBhaaaaassss
Sasa uje kumwambia aingie kwenye hekaheka atawezea wapi?
Mimi naona tofauti hili suala lake la kuugua. Nahisi ulikuwa ni uchovu baada ya kufanya kazi kwa kipindi kirefu ambacho sio kawaida yake.
Mwili ukareact ndio akazidiwa!
Hahahahaha sio ufala ..utu bana..wengine tumefunzwa kutunza files kuna moja natafuta mtu nimpe aliweke kwa mtandaoniAcha ufalaaaaaa! Hizo files ndio zenyewe Mkuu.
Sio lazima uandike wewe, tutafute sisi tunaoweza tupe files turuke nazo.
Basi kauka😜Wewe mwenyewe ndio umeyaleta, mimi hata nilikuwa sikumbuki 🤣🤣🤣
Eti mama wa watu anamwambia “Mume wangu anataka kuvunja ndoa aachane na mimi kisa nimechora tattoo yako”Suprise huku camera man akiwa kajipinda kuchukua tukio 😂😂
Huo ndio usanii wa madhabahuni, nabii mkuu yupo vizuri katika usanii.
Ulijuaje kuwa aliwapa mtaji?Aliwapa mama zangu mtaji pale Arusha walipounguliwa na soko, ni mtu ‘mzuri
Ikiwa ni hapa JF nishtue, au hutotaka tujue kama ndio wewe mtoa file?Hahahahaha sio ufala ..utu bana..wengine tumefunzwa kutunza files kuna moja natafuta mtu nimpe aliweke kwa mtandaoni
Siezi andika mmIkiwa ni hapa JF nishtue, au hutotaka tujue kama ndio wewe mtoa file?
Kukaa na file ni kugumu sana, hasa ukute la moto!
Sawa kaka mchungaji.Kuokoka Si jambo la Siri,
Ni baraka kukombolewa NAFSI.
Anapasa Kutoka mwenyewe na kutangaza hadharani.
Hahahahaha,waja mmejiongezaHili la kurogwa ni sisi waja tu, sio yeye.
Si unamjua huwa haongei? Habari zake hadi uzipate sio kupitia yeye.
Kwa taarifa yako alishamkula huyo lady, baada ya mrembo kuachwa na mume kisa tattoo ya nabii aligeuka kuwa suria wa nabii 😂Yeye badala akemee hilo anajibu “Kweli? Anawezaje kukuacha na uzuri huo?”
Kweli kuna usalama hapo?
Mko vzr sana,waja ...Waja tupe kichwa cha habari uondoke zako, maneno tutayatafuta wenyewe 😆😆
Kumbe wewe ni mkazi wa chuga?Mama yangu ni mmoja wapo, alitoa pesa nyingi.
200+ Millions
Tatizo sio tungi. Kuna gonjwa ambalo halitajwi.. figo imebebeshwa tu lawama ila kiuhalisia kuna kitu HAKITAJIKI.Lakini yule inafahamika alikuwa zee la tungi sana, hivyo figo kuleta shida ni haki kabisa.