Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kabla ya tattoo walishawakiana tamaa kitambo na kukulana hadi bi mkubwa pastor Anna akatishia uhai wa mtu baadae nabii mkuu akamtuliza bi mkubwa tishio likazimwa πNgoja kwanza, sio kwamba walianza kabla penzi liliponoga ndipo bibie akachota tattoo?
Wapi tena nimewahi kumtetea πHuyu utakuwa unampenda, hadi umecomment kumtetea? π
Mimi sio mkazi, huko ndio home japo sijui chochote wala kokote hapo mjini π€£π€£Kumbe wewe ni mkazi wa chuga?
Tukutane kisongo hemani jpili hii basi tuabudu pamoja kwa nabii mkuu π
Nimechekaaaaaa π€£π€£π€£Kabla ya tattoo walishawakiana tamaa kitambo na kukulana hadi bi mkubwa pastor Anna akatishia uhai wa mtu baadae nabii mkuu akamtuliza bi mkubwa tishio likazimwa π
Baadae sasa huyo lady akaja kuibukia madhabahuni na hiyo Suprise ya tattoo π
Kiukweli walishakulana kitambo
Hili la kula mbuzi choma pale kwa mromboo limepita bila kupingwa utanijulisha lini upo tayari kisha tutashukia huko mahakama ya mbuziLabda useme twende kwa Mromboo kula nyama, kwa Nabii hapana.
Mama mdogo na huyo mchungaji hawakufanya sawa ulikuwa na haki ya kutoka nduki πKuna siku bwana hapohapo Arusha mamangu mdogo akawa anasumbuliwa na maradhi hosp ameshakata tamaa, ndio tukaelekezwa kanisa moja juu kule mbali sanaβ¦
Tukaenda na mhubiri hakuwa mtu mzima sana, akaanza kuita watu. Mamdogo akaenda, akaulizwa aliyekuja nae kwenye kipaza sauti, mamdogo akaropoka βNifah njooβ
Tobaaaaa!
Kwa hiyo we bado ni mjaheedin hadi leo?Niliapa sitokaa nikanyage maeneo ya hivyo tena!
Na ndio kanisa pekee lililofanya shindano la kumsaka miss ngurumo ya upako ππIla hilo kanisa aiseee, waumini wake wapewe tuzo maana hamna kituko ambacho hakijatokea huko na hawaambiwi juu ya Nabii!
Yes, bado mfia dini ila nimelegeza kidogo maana Mungu nae ana yake kanipa Mkristo π₯±π₯±Hili la kula mbuzi choma pale kwa mromboo limepita bila kupingwa utanijulisha lini upo tayari kisha tutashukia huko mahakama ya mbuzi
Mama mdogo na huyo mchungaji hawakufanya sawa ulikuwa na haki ya kutoka nduki π
Kwa hiyo we bado ni mjaheedin hadi leo?
Aaaaah usinitake maneno bhanaa πNi hadi leo bwana, bado la moto!
Na wanajua sana kulenga kwenye hela, sijui huwa wananusa π πKuokoka itakuwa ni Jingle ya kuitangaza na kuuzia hiyo filam
πNimevamia jijinla wazaramo
ππππNimevamia jijinla wazaramo
Unadhani kuna binti anataka kufiwa kifuani na Mzee, maana Wazee tunajijua tukipewa BlowJob ya kiwango hatuchelewi kuanza kunena kwa Lugha huku tunakabidhi hati za Viwanja na nyumba πββοΈπββοΈπββοΈKumbe huwa wanajali hilo sio kibunda pekee?
Koh koh koh .....tumbaku ya leo kali sana haki ya nani π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈKwahiyo babu huwezi kuweka kibunda chako pale? π€£π€£
Nimecheka kufaaaa!Na ndio kanisa pekee lililofanya shindano la kumsaka miss ngurumo ya upako ππ
Warembo wa pale wana upako ati π
Umemaliza Kila kitu, acha tuupe muda wakati.Huyu bila shaka kachungulia mbele kaona bila shaka things are falling apart. Sasa kuepuka anguko la ghafla kaona a adjust life kwa technique ili akiwa low profile watu wasemee "aah kaokoka yule".
Soko lishakua linaenda ukingoni huyu hamna kingine
Hongera sanaYes, bado mfia dini ila nimelegeza kidogo maana Mungu nae ana yake kanipa Mkristo π₯±π₯±
Shindano lilifanyika na mrembo mshindi alipatikana. Naweza kukutafutia video yake nitakutumia baadae ushuhudie hilo shindano lilivyo fanyikaNimecheka kufaaaa!
Hivi nyie kumbe mna mambo ya ajabu hivyo na hamsemi? Shidano lilifanyika lini?
Eeeh ππΎππΎ