Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Nawakumbusha tu, mnapokuwa kwenye masherehe kuweni makini. Sio lazima ule ama kunywa. Ikulazimu sana beba chako ukitumia kwa namna yake.
Hakikisha hukai kai hovyo kisa umepangiwa sehemu ya kukaa.

Vita za mamlaka ni mbaya sana.
 
Naskia hayati Maalim Seif nyumba yake watu walivoiona siku ya msiba wake waliishia kushangaa. No nyumba ya kawaida tu.
Lkn km tutazungumzia legacy alioiwacha Maalim tunaweza kusema itachukua miaka kusahaulika
 
Sijakuelewa,

Ni juhudi za kuiba pesa za umma au kutafuta pesa halali?

Ikiwa ni kutafuta pesa halali, Nyerere alikuwa Rais, hakuwwza kujenga tu hata nyumba ya ghorofa Moja!!
 
Angepelekwa Musoma ungeona wajita wanavyolia..ukute wifi aliwavuruga na vile huwa wanagubu wajita na majungu ss ndo kwao...au ukute hakuwa anaenda sana kule au aliacha wosia azikwe dar kwa kuwa ndo makazi yake au wifi alikomaa azikwe dar
Kuna mdau humu kasema alipewa shamba na baba mkwe huko Bunju A na ndiko alikojenga. Kuzikwa Dar ni sawa kabisa.
 
umasikini tu unakusumbua, kwa gsm kuna msikiti na zoo ya wanyama
 
mkiendelea na upumbavu huu mtakuja wekewa matanga leaders club, mle wali maharagwe
 
Hati fungani mchongo sana, hakuna stress
 
Sijakuelewa,

Ni juhudi za kuiba pesa za umma au kutafuta pesa halali?

Ikiwa ni kutafuta pesa halali, Nyerere alikuwa Rais, hakuwwza kujenga tu hata nyumba ya ghorofa Moja!!
Acha kumfanya nyerere kuwa mfano wa kuigwa
 
Sion kam ni mafanikio kwangu, mafanikio kwangu nikutak kuwa na maish ya kati , nisishndwe kulpa basic bills na kuw na nyumba
Kabisa mtu wangu mbona kama vp yy kaiwacha hapa hapa duniani kikuubwa zaidi jee ni mali yake halali kila shilingi iliojenga hilo hekalu hapa ndio masaibu yanapoanzia
 
Na wewe hivi ulivyocomment ulivyomjinga unajiona umeshakuwa tajiri. Wewendio ynajifariji kwa maneno matupu
Ujinga ulio nao ni mkubwa sana una kwazika na kukejeli usivyo vijuwa grow up bro hunijui unaeza kuta mimi ndio na kuweza kwenda chooni acha ufala **** wewe.
 
Viongozi wakiAfrika wajinga yani ata kiongozi wa sasa nashangaa anaanza kujenga maghorofa kwao wakati umri wake wakuishi ni mfupi mmno nasijui ana mjengea nani wakati familia yake watoto na wajukuu zake hawataishi uko. Mbona wazungu hawana Mambo ya kujenga majumba baada ya kupata Uongozi? Mfano waziri mkuu wa Uingereza au Raisi wa Marekani Bidden sasa hivi aanze kujenga Majumba na Maghorofa yake uko alipo zaliwa, lakin sijui kwanini wao hawafanyi hivyo.
 
Kwa kweli ni ujinga ndani ya rohi mbaya na urafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…