Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Nawakumbusha tu, mnapokuwa kwenye masherehe kuweni makini. Sio lazima ule ama kunywa. Ikulazimu sana beba chako ukitumia kwa namna yake.
Hakikisha hukai kai hovyo kisa umepangiwa sehemu ya kukaa.

Vita za mamlaka ni mbaya sana.
 
Hiyo hekalu imemsaidia nini, ameondoka nayo? Omba hekima siyo hizo rubbish. We una IQ ndogo sn, baba wa Taifa alitawala miaka 24 hakuhangaika na mahekalu, nyumbu alijengewa na JWTZ na alikaa ndani ya ile nyumbu miezi 6 tu. Timiza makusudi yaliyokuleta hp duniani mengine yote ni kujilisha upepo. We una mwili mkubwa kiasi gani utake nyumba kubwa km hekalu? Kitanda cha futi 3 tu inakutosha. Umeona ukubwa wa jeneza lake?
Naskia hayati Maalim Seif nyumba yake watu walivoiona siku ya msiba wake waliishia kushangaa. No nyumba ya kawaida tu.
Lkn km tutazungumzia legacy alioiwacha Maalim tunaweza kusema itachukua miaka kusahaulika
 
Sijakuelewa,

Ni juhudi za kuiba pesa za umma au kutafuta pesa halali?

Ikiwa ni kutafuta pesa halali, Nyerere alikuwa Rais, hakuwwza kujenga tu hata nyumba ya ghorofa Moja!!
 
Angepelekwa Musoma ungeona wajita wanavyolia..ukute wifi aliwavuruga na vile huwa wanagubu wajita na majungu ss ndo kwao...au ukute hakuwa anaenda sana kule au aliacha wosia azikwe dar kwa kuwa ndo makazi yake au wifi alikomaa azikwe dar
Kuna mdau humu kasema alipewa shamba na baba mkwe huko Bunju A na ndiko alikojenga. Kuzikwa Dar ni sawa kabisa.
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
umasikini tu unakusumbua, kwa gsm kuna msikiti na zoo ya wanyama
 
mkiendelea na upumbavu huu mtakuja wekewa matanga leaders club, mle wali maharagwe
 
kwa kujua maisha ya dunia si lolote kuna standards nimeziset. basi ndugu wananiona mtu wa ajabu sana. sina mpango wa kuwa na watoto wengi. ninaye 1 ananitosha, nikihataji nitaasili, sina mpango wa maviwanja na ma-nyumba mengi. kwangu kikubwa ni pesa ya kutosha ambayo nitawekeza kwenye hatifungani za serikali ikaniwezesha kuishi maisha middle-class. nikifa pesa zitaenda kwa mwanangu na charities.
Hati fungani mchongo sana, hakuna stress
 
Sijakuelewa,

Ni juhudi za kuiba pesa za umma au kutafuta pesa halali?

Ikiwa ni kutafuta pesa halali, Nyerere alikuwa Rais, hakuwwza kujenga tu hata nyumba ya ghorofa Moja!!
Acha kumfanya nyerere kuwa mfano wa kuigwa
 
Sion kam ni mafanikio kwangu, mafanikio kwangu nikutak kuwa na maish ya kati , nisishndwe kulpa basic bills na kuw na nyumba
Kabisa mtu wangu mbona kama vp yy kaiwacha hapa hapa duniani kikuubwa zaidi jee ni mali yake halali kila shilingi iliojenga hilo hekalu hapa ndio masaibu yanapoanzia
 
Na wewe hivi ulivyocomment ulivyomjinga unajiona umeshakuwa tajiri. Wewendio ynajifariji kwa maneno matupu
Ujinga ulio nao ni mkubwa sana una kwazika na kukejeli usivyo vijuwa grow up bro hunijui unaeza kuta mimi ndio na kuweza kwenda chooni acha ufala **** wewe.
 
🤣🤣🤣🤣 sasa kwani hajafa?

Huo ndio ukweli mchungu, unahangaika kutafuta mali, unaiba, unakula rushwa, unafisadi nchi, unajenga mahekalu, MWISHO UNAKUFA.

Tena unaanguka kama GUNIA... kishindo!

Kuna faida gani? Kwanini usitafute vitu kidogo ukaridhika tu?
Viongozi wakiAfrika wajinga yani ata kiongozi wa sasa nashangaa anaanza kujenga maghorofa kwao wakati umri wake wakuishi ni mfupi mmno nasijui ana mjengea nani wakati familia yake watoto na wajukuu zake hawataishi uko. Mbona wazungu hawana Mambo ya kujenga majumba baada ya kupata Uongozi? Mfano waziri mkuu wa Uingereza au Raisi wa Marekani Bidden sasa hivi aanze kujenga Majumba na Maghorofa yake uko alipo zaliwa, lakin sijui kwanini wao hawafanyi hivyo.
 
Kwa kweli ni ujinga ndani ya rohi mbaya na urafi
 
Back
Top Bottom