Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Utajiri na mafanikio ni mfumo wa maisha na sio wingi wa mali.

Kuwa na familia imara, makazi mazuri, usafiri wa uhakika, miradi miwili mitatu, kuwa sehemu ya watawala na wafanya maamuzi zaidi ya yote kuwa na afya njema.

Usisahau kujiburudisha wewe, familia yako na marafiki. Tenga kipindi cha mapumziko na kula bata.

Hayo ndio mafanikio na utajiri.

Tofauti na hapo utakuwa na maisha ya mahangaiko daily japo una mali nyiingi.
 
Nipo msibani kwa marehemu bunju A karibu na mianzini. Hakuna anayelia hata mmoja sijui kwann?
Umeachiwa bangalow ndani ya heka 1 unalia ili iweje? Bado kuna bunda refu liko CRDB na EQUITY BANK hapo mama hana presha kabisa. Tunalia misibani wale ambao hatujajipata sababu mzigo wa ada na kodi ni mwiba mchungu sana kwa afya ya akili.
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Bila shaka hata wakati wa Mazishi yake hawatasahau pia Kumzika Kaburini pamoja na hiyo Nyumba yake ya Kifahari ili tukiwa Mbinguni Siku ya Hukumu kwa yale mabaya tuliyoyafanya hapa duniani basi aamkie katika hiyo Nyumba kuja Uwanja Maalum wa kuhesabiwa Dhambi zako na Kuhukumiwa.
 
Umeachiwa bangalow ndani ya heka 1 unalia ili iweje? Bado kuna bunda refu liko CRDB na EQUITY BANK hapo mama hana presha kabisa. Tunalia misibani wale ambao hatujajipata sababu mzigo wa ada na kodi ni mwiba mchungu sana kwa afya ya akili.
Huko bank waweza kuta hakuna kitu au itategemea aina ya ugonjwa aliougua kama alikuwa anagharamiwa na serikali hapo akaunti zitasalimika
 
Hii kauli utaacha kila kitu au kaacha kila kitu ni kauli ya kimaskini sana. Mungu kasema fanyeni kazi, kuleni na kunyweni kaipamba dunia kwa ajili yetu sio tuteseke. Kufa kila mtu atakufa sasa si bora upate maisha mazuri duniani na akhera kuna watu wanaweza kukosa ya duniani na akhera. Shinda game yako ya nyumbani away katafute draw.
Sawa baba jenga mahekalu.
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Ufahari wa duniani tu dogo wekeza pia na mbinguni amkako hakuna mchwanna kutu
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Mkuu we kumbe uliya note hayo yote, sisi majirani ilikuwa ni neema ya misosi mwanzo mwisho yaani majumbani kulikiwa hamna haja ya kupika.
 
Back
Top Bottom