Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Nimesoma comments zimejaa chuki kwa kweli, watu wameacha kukubali ukweli kuwa jamaa alikuwa anaishi sehemu nzuri enzi za uhai wake ila watu wamebaki jifariji na maneno ya uwoga, chuki, wivu na makasiriko kuwa vyote ameacha duniani kikubwa He lived his best life thats what matter.
Yaani Mungu atusaidie tu waja wake.....maana...amekufa ameacha, kajenga uswahilini, kiwanja cha kupewa, kaiba.....
 
Mkuu hata uwe na suruali 200 kwenye kabati hakuna siku utqvaa mbili mbili kwa pamoja.

Wazungu wana hela ila wanaishi kwa kiasi. Pesa inayozidi wanatoa misaada ndio hizi pesa tunazoletewa misaada kuchimba vyoo, Shule bure, matibabu ya TB HIV bure, miradi ya matibabu kwa Mama na Watoto bure.

Sisi wafrika tunawekeza kwenye umimi na Ubaltazsar.

Ndio maana hatuendelei. Uchoyo hauleti maendeleo hata siku moja
Wewe haujui kuwa huko kwa wazungu ukistaafu na kuzeeka hilo jumba litakushinda kulipia kodi, utalipangisha, utaenda kuishi nyumba za wazee kwa kuwa watoto na wajukuu wanahangaika kivyao hawana muda na wewe. Tushukuru huku kwetu angalau kwa sasa familia bado zinatunza wazee. ILA TUNAELEKEA HUKO.
 
Ila wewe Mungu alikupa furaha na amani ya moyo.Kwa hiyo mshukuru Mungu.Haya mahekulu uyaone hivyo hivyo tuu. By the way utaishi ndani ya miaka sabini au au isiyozidi themanini
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
 
Hiyo ikulu imemsaidia nini, ameondoka nayo? Omba hekima siyo hizo rubbish. We una IQ ndogo sn, baba wa Taifa alitawala miaka 24 hakuhangaika na mahekalu, nyumbu alijengewa na JWTZ na alikaa ndani ya ile nyumbu miezi 6 tu. Timiza makusudi yaliyokuleta hp duniani mengine yote ni kujilisha upepo. We una mwili mkubwa kiasi gani utake nyumba kubwa km hekalu? Kitanda cha futi 3 tu inakutosha. Umeona ukubwa wa jeneza lake?
Mkuu,umesahau na ukubwa wa kipande cha aridhi kwa ajili ya kaburi.
 
L
Hiyo ikulu imemsaidia nini, ameondoka nayo? Omba hekima siyo hizo rubbish. We una IQ ndogo sn, baba wa Taifa alitawala miaka 24 hakuhangaika na mahekalu, nyumbu alijengewa na JWTZ na alikaa ndani ya ile nyumbu miezi 6 tu. Timiza makusudi yaliyokuleta hp duniani mengine yote ni kujilisha upepo. We una mwili mkubwa kiasi gani utake nyumba kubwa km hekalu? Kitanda cha futi 3 tu inakutosha. Umeona ukubwa wa jeneza lake?
Let alone pesa za wizi, mali na rasilimali za watu maskini walipa kpdi.
 
Mapesa yoyote ya kifisadi lazima ufanye mavitu ya ajabu.
Manyumba makubwa yanakuja kuwa hayana maana watoto wako wanapokuwa wakubwa na kuanza kujitegemea.
Kuna familia nazijua, zilikuwa zinaishi kama huyo Mafuru. Watoto walipokuwa wakubwa wamebaki wenyewe na jumba kuuubwaaa.
We mtu unajenga jumba na rotion 1 au mbili una watoto wa3!!!!!
Ila endeleeni kutafutaa pesa.
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Mwisho wa siku Analalia mchanga.
Fanya ibada ukapate jumba la kifahari peponi.

Katika Surah Az-Zumar (39:20), Qurani inasema:

"Lakini wale wanaomcha Mola wao wataingia kwenye vyumba vya juu (peponi), chini yake mito itiririkayo, wakidumu humo milele..."
 
Back
Top Bottom