Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 sasa kwani hajafa?Mawazo ya masikin haya
Nashauri hiyo pesa ukiipata Jenga Hilo jumba la kifahari Mbinguni/Peponi. Huko hakuna kufa Wala kupotea.Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Mafuru alikuwa nani?Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Ndicho wazungu walichofanikiwa kutupumbaza, wao wanavuna madini yetu na kutupa moyo kwamba tubaki masikini ili tuenjoy na Mungu.., kwani wao hawataki kuenjoy na Mungu? Mungu yupo hapa hapa duniani, na maisha ndio haya haya, enjoy.Mimi nawakumbusha tu kuwa, huko kwa Mungu kutakuwa kugumu sana
Tutengeneze mambo yetu hapa duniani
Tunakimbizana na miaka 80 ya hapa duniani tunasahau miaka elf, elf ya huko kwa Mungu
Sasa kwa Maoni Yako Ni Nani Huyo Anayestahili Kifo?Bado mdogo Sana kustahili kifo
Hata ukiishi mtaroni ukifa unauacha mkuu.🤣🤣🤣🤣 sasa kwani hajafa?
Huo ndio ukweli mchungu, unahangaika kutafuta mali, unaiba, unakula rushwa, unafisadi nchi, unajenga mahekalu, MWISHO UNAKUFA.
Tena unaanguka kama GUNIA... kishindo!
Kuna faida gani? Kwanini usitafute vitu kidogo ukaridhika tu?
Bado hujazipata ndo maana ya hizi kauli.Sion kam ni mafanikio kwangu, mafanikio kwangu nikutak kuwa na maish ya kati , nisishndwe kulpa basic bills na kuw na nyumba
Duh ila watu mna data aisee..mpaka aliyempatia kiwanja!Wala hupajui, video tu imekuchanganya.
Kajenga uswahilini kazungukwa na waswahili ila pembeni kuna mshua mmoja tu, ana eneo kubwa.
Kajenga nyumba kwa ndaani kaweka paving blocks.
Sasa ukitaka upate kichaaa kutafuta hela nenda mbweni malindi.
Kuanzia kona ya kuingia mbweni njoo kata kushoto uchungulie kulia kwako au nyoosha kama unaenda jkt kuelekea malindi uchungulie kushoto kwako utalaani kuzaliwa.
Mafuru kajenga uswaaa sana na nasikia eneo alipwa na ba mkwe mzee marehemu SHAO, EX EMPLOYEE TANESCO
Nipo msibani kwa marehemu bunju A karibu na mianzini. Hakuna anayelia hata mmoja sijui kwann?Pambana kadri uwezavyo lakini duniani hakuna usawa na haki,usawa na haki unaanzia kwenye kifo,kifo anachokufa masikini ndio kilekile anachokufa tajiri,pepo anayoingia tajiri ndio ileile anayoingia masikini,moto anaochomwa tajiri ndio uleule anaochomwa masikini.
Kwenye kifo hakuna tume ya kuwaengua wengine wala kuwekeana mapingamizi.
Umenena vyema.Mkuu hata uwe na suruali 200 kwenye kabati hakuna siku utqvaa mbili mbili kwa pamoja.
Wazungu wana hela ila wanaishi kwa kiasi. Pesa inayozidi wanatoa misaada ndio hizi pesa tunazoletewa misaada kuchimba vyoo, Shule bure, matibabu ya TB HIV bure, miradi ya matibabu kwa Mama na Watoto bure.
Sisi wafrika tunawekeza kwenye umimi na Ubaltazsar.
Ndio maana hatuendelei. Uchoyo hauleti maendeleo hata siku moja
ushauri wa mtu fukara aliyekata tamaa.Bila kujali mali zake alizipataje lakini ameviacha vyote.
Watabaki wanatafuna wale ambao hawakutoa jasho hata siku moja. Na hao ndio wajanja
Yule msanii wa Kenya aliyemjengea mama yake Mall anaitwa nani??
Ndo hajaifaidi kaiacha sasa.Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
kabisa full umasikini mindset na kujifariji kipuuzi.Nimesoma comments zimejaa chuki kwa kweli, watu wameacha kukubali ukweli kuwa jamaa alikuwa anaishi sehemu nzuri enzi za uhai wake ila watu wamebaki jifariji na maneno ya uwoga, chuki, wivu na makasiriko kuwa vyote ameacha duniani kikubwa He lived his best life thats what matter.