Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Nimesoma comments zimejaa chuki kwa kweli, watu wameacha kukubali ukweli kuwa jamaa alikuwa anaishi sehemu nzuri enzi za uhai wake ila watu wamebaki jifariji na maneno ya uwoga, chuki, wivu na makasiriko kuwa vyote ameacha duniani kikubwa He lived his best life thats what matter.
Na wewe hivi ulivyocomment ulivyomjinga unajiona umeshakuwa tajiri.

Wewendio ynajifariji kwa maneno matupu
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Every African civil servant is by default a potential or/and a thief.
They only differ in dimensions of felony!
 
kabisa full umasikini mindset na kujifariji kipuuzi.
Boss umesema kweli mda mwingine mtu apewe maua yake tusiwe wachoyo wa sifa, kama huna ongeza juhudi upate ila sio kudai ni mambo ya kupita na amini hakuna anae penda kulala mahali pahovyo hakuna asiependa kuishi sehemu nzuri ila ni vile tuna fikra na juhudi tofauti
 
Wewe tajiri hapa unafanya nini? Maskini ndio mnawaza hiv8 mkifhani kwa kuongea ongea tu basi mmeshakuwa matajiri
elewa tu wewe ni kiazi unaacha kutafuta vyako unalaani wenzio masikini mkubwa wewe, na mawazo yako ya aliyekupa wewe sijui ndio kanyima nini , wee kiufupi ni maskini wa vyote roho na mwili,
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Si kweli

Hana lami nyumbani
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Hapa ndio shida inaanzia, wengine huko serikalini na wao watasema kama mwenzetu aliweza sisi tushindwe nini. Mimi simjui marehemu najuwa tu mfanyakazi wa serikali sasa hatujiulizi tu huu utajiri umetoka wapi? pesa halali au ndio zile.... marehemu sio peke yake nchi ingekuwa serious wafanyakazi wengi unaambiwa hongera kwa jumba hili lakini tuoneshe ulliwezaje? labda ana biashara nje labda mikopo ataonesha au karithi lakini sisi tunashangilia mwajiriwa tu wa serikali kwa mishahara gani?
 
Hii kauli utaacha kila kitu au kaacha kila kitu ni kauli ya kimaskini sana. Mungu kasema fanyeni kazi, kuleni na kunyweni kaipamba dunia kwa ajili yetu sio tuteseke. Kufa kila mtu atakufa sasa si bora upate maisha mazuri duniani na akhera kuna watu wanaweza kukosa ya duniani na akhera. Shinda game yako ya nyumbani away katafute draw.
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Lakini amefariki na wewe unapumua..
...mambo yote chini ya jua ni ubatili na......
 
Back
Top Bottom