Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
kwahiyo kaiacha,basi kumbe maisha nikujilisha upepo tu
 
Bila kujali mali zake alizipataje lakini ameviacha vyote.

Watabaki wanatafuna wale ambao hawakutoa jasho hata siku moja. Na hao ndio wajanja
hivi unafikiri yeye alitoa jasho kuvipata hivyo? bro hivyo havipatikani kwa jasho ni kama kukanyaga ganda la ndizi tu wewe unayetoajasho na damu kutafuta huwezi kufikia hapo
 
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.

Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!

Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Ila kifo ndiyo kinaleta usawa. Uwe na hekalu au kiduku wote tunakufa na kuviacha
 
Huko bank waweza kuta hakuna kitu au itategemea aina ya ugonjwa aliougua kama alikuwa anagharamiwa na serikali hapo akaunti zitasalimika
Kwa nafasi aliyokuwepo serikali itakuwa iliwajibika kwa 100%!

Angekuwa alihamia Chadema ningekuwa na uhakika amesafisha account ku clear bills.
 
Watu wanapesa aisee na kila mtu na safari yake wengine apa tunawaza usiku unaishaje pasi ndefu naiona kabisa
Lakini wewe upo hai yeye kaenda aloo mshukuru Mungu kwa uhai hayo mengine ni ziada hatulingani the hatutalingana...hata angeishi miaka 80 au 100 kuna siku angeshindwa kupanda up stairs angelala chumba cha chini so this is life bwana japo inapendeza zaidi ufahari huu kabla hujafa uonje kidogo raha za dunia hata kama tunapita walau zipitie kwako
 
Alafu binadamu ss bwana...hivi kwa nn mtu akiwa hai anakejeliwa na maneno ya shombo kwamba kazeeka ..lakini huyo huyo akifa utaskia watu wakisema kafa akiwa mdogo..Mafuru kafa akiwa na 52,mama Grace Mapunda pia watu kijisemesha alikiwa bado mdogo ila kutwa kuchwa kuwachamba watu wa 30's ni wazee wasubiri kufa..ila binadamu bwana
 
Uombe uzaliwe mwerevu - ukiwa mbumbumbu kuyafikia mafanikio kama hayo @ age of 52 sahau kabisa, hata wizi ukiwa mjinga huwezi kuufanya sababu utakamamtwa siku ya pili tu.
 
Wajita najua ni waliaji wazuri sana. Wamekwama wapi kumlilia ndugu yao Mafuru? Au ni wifi/shemeji yao wa Kichaga kawavuruga hadi wamesahau kumlilia Marehemu?
Angepelekwa Musoma ungeona wajita wanavyolia..ukute wifi aliwavuruga na vile huwa wanagubu wajita na majungu ss ndo kwao...au ukute hakuwa anaenda sana kule au aliacha wosia azikwe dar kwa kuwa ndo makazi yake au wifi alikomaa azikwe dar
 
Back
Top Bottom