Wengine tunaomba usiku uingie ili tujamiiane na wenza wetu maana hiyo ndiyo raha (starehe) pekee tuliyonayo hapa duniani.Watu wanapesa aisee na kila mtu na safari yake wengine apa tunawaza usiku unaishaje pasi ndefu naiona kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine tunaomba usiku uingie ili tujamiiane na wenza wetu maana hiyo ndiyo raha (starehe) pekee tuliyonayo hapa duniani.Watu wanapesa aisee na kila mtu na safari yake wengine apa tunawaza usiku unaishaje pasi ndefu naiona kabisa
asante sana kwa hoja mujarabuUnajiona unasafari ndefu kwani duniani umekuja kushindana? Ndiomaana mnakufa kwa mapresha&magonjwa ya moyo kwa kushindana na uhalisia.
Dunian hatuko sawa na hatutokuja kuwa sawa, mind yourself acha tamaa&mashindano utakufa siku si zako
jamiana sana tena kwa kwenda mbeleWengine tunaomba usiku uingie ili tujamiiane na wenza wetu maana hiyo ndiyo raha (starehe) pekee tuliyomayo hapa duniani.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]jamiana sana tena kwa kwenda mbele
Nyoko sana yaaani!Nimepaona huko Instagram, nikaishia kusema kifo ni nyoko.
kwahiyo kaiacha,basi kumbe maisha nikujilisha upepo tuNiliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
hivi unafikiri yeye alitoa jasho kuvipata hivyo? bro hivyo havipatikani kwa jasho ni kama kukanyaga ganda la ndizi tu wewe unayetoajasho na damu kutafuta huwezi kufikia hapoBila kujali mali zake alizipataje lakini ameviacha vyote.
Watabaki wanatafuna wale ambao hawakutoa jasho hata siku moja. Na hao ndio wajanja
Ila kifo ndiyo kinaleta usawa. Uwe na hekalu au kiduku wote tunakufa na kuviachaNiliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru.
Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!!
Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
Baelezee mkuu.hivi unafikiri yeye alitoa jasho kuvipata hivyo? bro hivyo havipatikani kwa jasho ni kama kukanyaga ganda la ndizi tu wewe unayetoajasho na damu kutafuta huwezi kufikia hapo
InasikitishaBila kujali mali zake alizipataje lakini ameviacha vyote.
Watabaki wanatafuna wale ambao hawakutoa jasho hata siku moja. Na hao ndio wajanja
Kwa nafasi aliyokuwepo serikali itakuwa iliwajibika kwa 100%!Huko bank waweza kuta hakuna kitu au itategemea aina ya ugonjwa aliougua kama alikuwa anagharamiwa na serikali hapo akaunti zitasalimika
Lakini wewe upo hai yeye kaenda aloo mshukuru Mungu kwa uhai hayo mengine ni ziada hatulingani the hatutalingana...hata angeishi miaka 80 au 100 kuna siku angeshindwa kupanda up stairs angelala chumba cha chini so this is life bwana japo inapendeza zaidi ufahari huu kabla hujafa uonje kidogo raha za dunia hata kama tunapita walau zipitie kwakoWatu wanapesa aisee na kila mtu na safari yake wengine apa tunawaza usiku unaishaje pasi ndefu naiona kabisa
Noma sanaKabisa, hivyo ndio viwanja sasa
Wajita najua ni waliaji wazuri sana. Wamekwama wapi kumlilia ndugu yao Mafuru? Au ni wifi/shemeji yao wa Kichaga kawavuruga hadi wamesahau kumlilia Marehemu?Nipo msibani kwa marehemu bunju A karibu na mianzini. Hakuna anayelia hata mmoja sijui kwann?
Angepelekwa Musoma ungeona wajita wanavyolia..ukute wifi aliwavuruga na vile huwa wanagubu wajita na majungu ss ndo kwao...au ukute hakuwa anaenda sana kule au aliacha wosia azikwe dar kwa kuwa ndo makazi yake au wifi alikomaa azikwe darWajita najua ni waliaji wazuri sana. Wamekwama wapi kumlilia ndugu yao Mafuru? Au ni wifi/shemeji yao wa Kichaga kawavuruga hadi wamesahau kumlilia Marehemu?
utajenga vipi barabarani?Jengenii tuu, mimi sifanyi ujinga huo.
Hapa nawaza nitafute gari kali ndogo ndogo hivi niwe nadrive huku nakula kitimoto.
Najua siku nakufa na gari nalo litakuwa limekufa.