Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Kwani itamfaidia nini mtu kuupata ulimwengu na vitu vyake lakini mwishowe akaoshia Jehanam ya moto? Tafuta kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake na mengine mtazidishiwa.
 
kwa kujua maisha ya dunia si lolote kuna standards nimeziset. basi ndugu wananiona mtu wa ajabu sana. sina mpango wa kuwa na watoto wengi. ninaye 1 ananitosha, nikihataji nitaasili, sina mpango wa maviwanja na ma-nyumba mengi. kwangu kikubwa ni pesa ya kutosha ambayo nitawekeza kwenye hatifungani za serikali ikaniwezesha kuishi maisha middle-class. nikifa pesa zitaenda kwa mwanangu na charities.
 
Bright Thinking.....wewe ndio utaavha Legasi ya maana. Na sio Legasi ya matofali na nondo eti ni nyumba.
 
Nyumba kama haiko Oysterbay au Masaki haina hadhi ya kutisha hata kama ni kubwa kama white house ya magogoni.
 
Uache kutoa charities saizi usubirie baada ya Kufa? Mwenzako ameachia mbwa Urithi wa mabilioni kisa ujinga kama huo.

Acha legacy Kwa kusaidia watu saizi Ili na kizazi chako kisalie kwenye kumbukumbu.
 
Hizo pesa zenyewe utaziacha hapa duniani. Mtafute Mungu wakati wote yeye yupo na atakuwepo daima ila maisha Yana mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…