DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Nafikiri ni ushamba.Viongozi wakiAfrika wajinga yani ata kiongozi wa sasa nashangaa anaanza kujenga maghorofa kwao wakati umri wake wakuishi ni mfupi mmno nasijui ana mjengea nani wakati familia yake watoto na wajukuu zake hawataishi uko. Mbona wazungu hawana Mambo ya kujenga majumba baada ya kupata Uongozi? Mfano waziri mkuu wa Uingereza au Raisi wa Marekani Bidden sasa hivi aanze kujenga Majumba na Maghorofa yake uko alipo zaliwa, lakin sijui kwanini wao hawafanyi hivyo.