Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

Viongozi wakiAfrika wajinga yani ata kiongozi wa sasa nashangaa anaanza kujenga maghorofa kwao wakati umri wake wakuishi ni mfupi mmno nasijui ana mjengea nani wakati familia yake watoto na wajukuu zake hawataishi uko. Mbona wazungu hawana Mambo ya kujenga majumba baada ya kupata Uongozi? Mfano waziri mkuu wa Uingereza au Raisi wa Marekani Bidden sasa hivi aanze kujenga Majumba na Maghorofa yake uko alipo zaliwa, lakin sijui kwanini wao hawafanyi hivyo.
Nafikiri ni ushamba.
 
Kama unahitaji kutengeneza pesa kupitia simu yako smartphone nicheki inbox nikupe maelekezo
 
Back
Top Bottom