Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, tutafuta Jina Samia kwenye kila kitu hapa Tanganyika

Kwa kweli huyu muuaji, jina lake kila linaposikika linaleta simanzi kubwa. Hakujawahi kutokea shetani wa kuua watu maelfu kama hili jitu. Kwa kweli halistahili kukanyaga ardhi ya Tanganyika. Sijawahi kufikiria Tz ingeweza kuja kuwa na kiongozi shetani wa kiwango cha huyu mtu!!
 
Ishu hapa sio Samia Kuna vuguvugu liko chini chini dhidi ya Uzanzibari na Utanganyika na udini ukristo na Uislam. Kwasababu zisizo wazi hao wapo radhi kuichana nchi hii iwe pande mbili na baadae tutasambaratika pengine ziwe nchi hata nne. Ila nawahskikishia hili halitafanikiwa. sisi wananchi wa kawaida tutasimama na yeyote ambae Yuko radhi kuhakikisha umoja, wetu kama taifa unadumu bila kujali ametoka chama gani.
Nb.
Wanasiasa wenye tamaa, uchu na ashki Kali ya madaraka mnaelekea kutufikisha huko mbadilike sasa. Mmechokwa!
 
Zanzibar ijitenge iwe huru
 
Back
Top Bottom