Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, tutafuta Jina Samia kwenye kila kitu hapa Tanganyika

Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, tutafuta Jina Samia kwenye kila kitu hapa Tanganyika

Ishu hapa sio Samia Kuna vuguvugu liko chini chini dhidi ya Uzanzibari na Utanganyika na udini ukristo na Uislam. Kwasababu zisizo wazi hao wapo radhi kuichana nchi hii iwe pande mbili na baadae tutasambaratika pengine ziwe nchi hata nne. Ila nawahskikishia hili halitafanikiwa. sisi wananchi wa kawaida tutasimama na yeyote ambae Yuko radhi kuhakikisha umoja, wetu kama taifa unadumu bila kujali ametoka chama gani.
Nb.
Wanasiasa wenye tamaa, uchu na ashki Kali ya madaraka mnaelekea kutufikisha huko mbadilike sasa. Mmechokwa!
Acha mkwara utafanya nini wewe?Hizo siasa za kipumbavu za CCM za kuwapa wananchi uoga kampelekee mama yako yuke mwenye matiti muuaji
 
Kuna kiongozi atakuja kwanza atamfunga,kisha atafuta jina lake kwenye orodha ya maraisi Tanzania,maana huo uraisi kaupata usivyo halali
Hakuna Urais wa halali au wa haramu. As long as Tume ya uchguzi imemtangaza, mchezo umeishia hapo. Vumilia maumivu hadi 2030
 
Wazinzibari watataifishwa Mali zote walizowekeza Tngnk Tanganyika....Hawataruhusiwa kumiliki ardhi ya Tanganyika
 
Utafutika wewe mwenyewe kabla ya huo uhuru feki. Acha kuota ndoto za mchana utakata gogo bure kitandani
Mambo yameshabadilika kwa Ground....stuka bro usijesema hukusanuliwa.... Mauaji ya MO 29 yamebadili kila kitu.....
 
Never! Never! Never again!📌🔨
Mkuu kwenye hili umesema kweli. Atakuwaje lakini? Ama wa Tanzania, ikiwepo, atakuwa mtu atake asitake. Hivi ni nani alitaka Samia awe rais 2021? Unacheza na muumba wa ulimwengu? Yajayo yanafikirisha sana.
 
Wazinzibari watataifishwa Mali zote walizowekeza Tngnk Tanganyika....Hawataruhusiwa kumiliki ardhi ya Tanganyika
Hilo la kutaifishwa unaota ndoto za mchana. Kwani wameiba? Fanya marejeo ya USSR na Yugoslavia.
 
Jina samia limebeba laana, halitatakiwa kuonekana popote. Hata ipite miaka mingapi, nina hilo litakaposikika litaleta sonono mioyoni mwa watu. Hakika kwa damu alizomwaga, ni aheti asingelizaliwa.
 
Mambo yameshabadilika kwa Ground....stuka bro usijesema hukusanuliwa.... Mauaji ya MO 29 yamebadili kila kitu.....
Ulitaka tuwaachie wale wahuni wanachoma miundombinu?? No way walistahili walichopata
 
Jina samia limebeba laana, halitatakiwa kuonekana popote. Hata ipite miaka mingapi, nina hilo litakaposikika litaleta sonono mioyoni mwa watu. Hakika kwa damu alizomwaga, ni aheti asingelizaliwa.
Wewe ndiyo mtemgemeza laana?? Acheni kujipa kazi ya Mungu.

Kwanza Mungu siyo jirani yenu huko Nanjilinji
 
Mzanzibari asijekuwa tena Kiongozi wa Tanganyika
Make no mistake, huyu ndie Mzanzibari wa mwisho kukanyaga Ikulu ya Tanganyika. Huu upumbavu tutautokomeza. Wafukuzwe wote serikalini kama vile ambavyo sisi hatupo huko kwenye serikali yao ya Zanzibar.
 
Utafutika wewe mwenyewe kabla ya huo uhuru feki. Acha kuota ndoto za mchana utakata gogo bure kitandani
Tutolee unafiki hapa. Wewe kama anakufurahisha weka picha zake chumbani kwako nani amekuzuia, ujinga na ufala wenu ninyi machawa ni kudhania kuwa kila mtu anataka kuwa na fikra kama ninyi,mshakuwa wajinga hadi hamuoni madhara. Toka hapa shetani wewe.
 
Wazanzibar watarudisha ardhi zote walizomilikishwa Tanganyika, wanaostahili watalipwa fidia ila ardhi itabaki mali ya watanganyika
Waondoke tu kwakweli sio watu wazuri hata kidogo. Wanahusuda,visirani,majungu,wanapenda kutumia dini kama silaha ya ubaguzi mimi binafsi wananikera sana tabia zao.
 
Kwa kweli huyu muuaji, jina lake kila linaposikika linaleta simanzi kubwa. Hakujawahi kutokea shetani wa kuua watu maelfu kama hili jitu. Kwa kweli halistahili kukanyaga ardhi ya Tanganyika. Sijawahi kufikiria Tz ingeweza kuja kuwa na kiongozi shetani wa kiwango cha huyu mtu!!
Ndio maana kakimbia hakai huku maana ameshaona madhara ya matendo yake na ameshajistukia.
 
Ishu hapa sio Samia Kuna vuguvugu liko chini chini dhidi ya Uzanzibari na Utanganyika na udini ukristo na Uislam. Kwasababu zisizo wazi hao wapo radhi kuichana nchi hii iwe pande mbili na baadae tutasambaratika pengine ziwe nchi hata nne. Ila nawahskikishia hili halitafanikiwa. sisi wananchi wa kawaida tutasimama na yeyote ambae Yuko radhi kuhakikisha umoja, wetu kama taifa unadumu bila kujali ametoka chama gani.
Nb.
Wanasiasa wenye tamaa, uchu na ashki Kali ya madaraka mnaelekea kutufikisha huko mbadilike sasa. Mmechokwa!
Hili la udini linaletwa na wazanzibari,watu watanganyika na udini wapi na wapi? Nani anajali kwanza wewe ukisali au usipo sali dini fulani?

Wazanzibari nenda kule kwao ndio utajua namna wanajifanya wao ni mabinamu wa mtume.

Haya mambo ya kelele za udini especially misikitini ni kazi ya wazanzibari sio watanganyika.

Wazanzibari sio wapenda umoja hata kidogo wana akili za kupindua pindua kila kitu. Si umeona huyu muovu namna amevuka mipaka ya kiuongozi, anaua watu, anavunja sheria hadharani, anaweka ndugu zake serikalini wazi wazi tena kwa kiburi na dharau. Huyu ndio tafsiri halisi ya watu wa Zanzibar na tabia zao za asili, wanaviburi,kisirani,jeuri,na hawana umoja na upendo kwa wengine wasioshare nao sifa za kiraia.
 
Tutolee unafiki hapa. Wewe kama anakufurahisha weka picha zake chumbani kwako nani amekuzuia, ujinga na ufala wenu ninyi machawa ni kudhania kuwa kila mtu anataka kuwa na fikra kama ninyi,mshakuwa wajinga hadi hamuoni madhara. Toka hapa shetani wewe.
Kwani nimekulazimisha kumpenda na kwani nimekuambia uweke picha yake??

Dunia hii hata mitume wa Mungu kama Yesu na Muhammad walikataliwa na kutukanwa, sembuse ya Samia??

Kaa kwa utulivu lasivyo utapasuka mishipa ya fahamu, yupo hadi 2030 ma leo ni 2025 tu
 
Back
Top Bottom