Hayo ni muendelezo tu...Wazinzibari watataifishwa Mali zote walizowekeza Tngnk Tanganyika....Hawataruhusiwa kumiliki ardhi ya Tanganyika
View: https://www.youtube.com/watch?v=obOYhW6LJUI
Hayo ni muendelezo tu...Wazinzibari watataifishwa Mali zote walizowekeza Tngnk Tanganyika....Hawataruhusiwa kumiliki ardhi ya Tanganyika
Utakachoweza ni kubadii ID tuu siku ikifikaUta wait sana and you won't see anything until 2030. Idiot
Huo uhuru mtaupata ndotoni, muwe waangalifu msije kujikojolea hapo kitandani.Mzanzibari asijekuwa tena Kiongozi wa Tanganyika
Hawa Gen Z matope yamewajaa vichwani.Ishu hapa sio Samia Kuna vuguvugu liko chini chini dhidi ya Uzanzibari na Utanganyika na udini ukristo na Uislam. Kwasababu zisizo wazi hao wapo radhi kuichana nchi hii iwe pande mbili na baadae tutasambaratika pengine ziwe nchi hata nne. Ila nawahskikishia hili halitafanikiwa. sisi wananchi wa kawaida tutasimama na yeyote ambae Yuko radhi kuhakikisha umoja, wetu kama taifa unadumu bila kujali ametoka chama gani.
Nb.
Wanasiasa wenye tamaa, uchu na ashki Kali ya madaraka mnaelekea kutufikisha huko mbadilike sasa. Mmechokwa!