Ishu hapa sio Samia Kuna vuguvugu liko chini chini dhidi ya Uzanzibari na Utanganyika na udini ukristo na Uislam. Kwasababu zisizo wazi hao wapo radhi kuichana nchi hii iwe pande mbili na baadae tutasambaratika pengine ziwe nchi hata nne. Ila nawahskikishia hili halitafanikiwa. sisi wananchi wa kawaida tutasimama na yeyote ambae Yuko radhi kuhakikisha umoja, wetu kama taifa unadumu bila kujali ametoka chama gani.
Nb.
Wanasiasa wenye tamaa, uchu na ashki Kali ya madaraka mnaelekea kutufikisha huko mbadilike sasa. Mmechokwa!