Baada ya kupewa Talaka, Wastara Sasa Hali Mbaya

Mbona wachache sana hao?
Kuna watu wanajaza behewa hata 5 na inakuwa ndio baaadoooo asubuhi kabisaaa
 
wizara ya afya lifanyienii kazi hili jambo hasa hasa hii hospitali kanuni na sheria za medicine haziruhusu mgonjwa kupigwa picha na kuanika katika mitandao ya kijamii katika MEDICAL ETHICS yale utakayo yaona ama kuyasikia wakati wa kumhudumia mgonjwa ni siri kati yake na yeyee.. Hii hospitali imekosa maadilii kwa nini wameruhusu upigwaji wa picha kwa mgonjwa na kuanikwa katika mitandao ya kijamii huu ni udharilishaji..serikali ilitizame hili japo .....#HYPOCRATES OATH
 
Hao ndiyo mabinti wa mijini,ushauri kwa vijana kaoe kijijini mtoto aliyelelewa anayeogopa talaka
Mdau,kijiji gani?acha tu usiseme,Mke mwema namna ya kumpata ni kumuomba Allah.
Mjini mbona wapo wenye ethics zao
 
Wabunge wa Tanzania bhana, kutwa kusutana na kinamama huko Instagram lakini wakifika mjengoni kila kitu ndio ndio.
Ha ha haaa,sema wewe.
Nimeona zile comments aisee ni shida kabisa,ukiwaita hapa JF wanang'aa sharubu tu
 
Ayajengeje sasa.mdau mpaka hapo anachohitaj ni kuwa kwenye ndoa ndo stara ya mwanadam hyo
 
Nlikuwa cjajua kama ana list ndefu hivi... Atulie tu sasa
Ha ha ha haa,ila mdau Nokia83 kuna watu wana orodha ndefu zaid ya huyo wanaume kwa wanawake,yaani hyo orodha yake naona cha mtoto kabisa,hapasw hata kunyooshewa vidole
 
Huenda wastara alikua anachambwa na mke mwenzie kwa kutumia account ya mme wao , teh hizi ndoa za wake wengi nazo shughuli
Maana nikiposkia anaolewa na nikasoma hapa jamaa ana wake wengine,nilijua hii ndoa haitamove.Halafu pia wastara ni Mtanganyika,jamaa na wakeze ni wapemba (wazenj).Jambo pekee hapo ni kupigania afya yale tu atengemae si kingine,nimeona Riyama Ali (MbongoMuvi) amemchamba huyo jamaa kweli
 
Alisema yy na mke mwenza ni shega tuu hata mwezi haujapita dhambi ya kushabikia ccm ni mbaya sana na iwatafune tuuu kwa maaana hakuna namna bana
 
Mkuu tukirejea kuleeee kwenye ulimwengu wa roho, huyu dada na mwenzie lulu watakuwa na tatizo gani?
Malaika wa kuzimu kwa mtazamo wangu ...kama ni coincidence kwa yale aliyopitia nitakuja kuomba radhi lakini kwasasa huo ndio mtazamo wangu

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
 
Malaika wa kuzimu kwa mtazamo wangu ...kama ni coincidence kwa yale aliyopitia nitakuja kuomba radhi lakini kwasasa huo ndio mtazamo wangu

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app

jini mahaba anahusika hapa.
Mkuu fanya mpango wakuleta mada ya kumuelezea huyu jini. Anatesa sana ndoa za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…