Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

Yaani kioo kikudanganye lakini picha ikuoneshe uhalisia?

Elimu ya fizikia umeisoma wapi mzee?
Vioo vina danganya sana. Mimi kuna kioo nikijiangalia sijielewi na kioo kingine najielewa😂
 
Hajui maana na refractive index, hajui properties of the image formed on plane mirror.

Mkuu hata mirrors huwa refractive index just like any other types of glass isipokuwa huwa hatuijali sana kwa sababu the main purpose of a mirror is to reflect light ili tuweze kujitazama...(reflected light inapokuwa inatoka ndani ya kioo kuja nje inakuwa tu ni kama unausafirisha mwanga from one medium to another...
 
Vioo vina danganya sana. Mimi kuna kioo nikijiangalia sijielewi na kioo kingine najielewa😂

😂

Labda kama unajitazama kwenye kioo cha mganga au kiwe kioo mbinuko au mbonyeo, lakini kikiwa plane basi unachokiona ndio kinachotakiwa kuonekana kiuhalisia...
 
😂

Labda kama unajitazama kwenye kioo cha mganga au kiwe kioo mbinuko au mbonyeo, lakini kikiwa plane basi unachokiona ndio kinachotakiwa kuonekana kiuhalisia...
Naona na quality ya kioo inachangia pia. Ukijiangalia kwenye kioo kingine unajishangaa. Halafu wanawake si unajua muda mwingi tunatumia kwenye vioo ku note tofauti ni rahisi 😅😅
 
Forever young, I wanna be forever young 🎶

Infact hata aliyeimba hii ngoma ni mzee.
 
sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile

nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale.

kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
Pata pesa za kutosha utarudi ujanani
 
Pitia verse za jay z kwenye hiyo ngoma hasa ile inayoishia .. before the director yells cut
Verse 1:
Let's go back, back to the beginningBack to when the earth, the sun, the stars, and the moonAll were aligned'Cause it felt so good to be aliveAnd I’m still alive, forever young

Chorus:
I want to be forever youngDo you really want to live forever?Forever, forever, youngI want to be forever youngDo you really want to live forever?Forever, forever, young

Verse 2:
So I hop up in the limo and I'm off to the showI'm looking so fly and the crowd starts to growI’m feeling like the king of the world in this momentAnd nothing's gonna take it away, oh noAnd I tell ‘em all, “This is our timeNo more wasting, waiting, tryingTo make it, living for the future, we can make it, oh yeah”Forever young, baby, that's the plan

Chorus:
I want to be forever youngDo you really want to live forever?Forever, forever, youngI want to be forever youngDo you really want to live forever?Forever, forever, young
.

Nionyeshe wapi!!?
 
Back
Top Bottom