Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

Jiandalie Na Mazingira Mazuri Haswa Pale Utakapong'ata Mbao
 
Ukiwa na hela siku zote sura yako inanawiri haina mikunjomikunjo

Tabasam muda wote ww ni mtu wa furaha
Mbowe ana hela ila sura imeshajikunja, JK ana kila kitu ila uzee na sura vimejionyesha. Asili ni asili tu. Ukiwa 20s na 30s kuna tofauti, ukifika 4ps unaoina tofauti...maisha haya bwana!
 
Sasa Kuna wale wako sawa umri na mbowe na jk ngozi zao ni tofaut jk ana 70 lakin Yuko vema njoo huku mtaan uone Mzee wa miaka 70 alivo
 
Wamechomwa na jua sana, tofauti na kina Mbowe wao kiyoyozi home hadi ofisini.
 
Back
Top Bottom