Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ana hela ila sura imeshajikunja, JK ana kila kitu ila uzee na sura vimejionyesha. Asili ni asili tu. Ukiwa 20s na 30s kuna tofauti, ukifika 4ps unaoina tofauti...maisha haya bwana!Ukiwa na hela siku zote sura yako inanawiri haina mikunjomikunjo
Tabasam muda wote ww ni mtu wa furaha
Sasa Kuna wale wako sawa umri na mbowe na jk ngozi zao ni tofaut jk ana 70 lakin Yuko vema njoo huku mtaan uone Mzee wa miaka 70 alivoMbowe ana hela ila sura imeshajikunja, JK ana kila kitu ila uzee na sura vimejionyesha. Asili ni asili tu. Ukiwa 20s na 30s kuna tofauti, ukifika 4ps unaoina tofauti...maisha haya bwana!
Fact, refractive index haipo kwenye plane mirror, plane mirror kazi yake ni kureflect mwanga, sio kurefract!Refractive index haipo kwenye plane mirror mkuu ipo kwenye concave na convex
Wamechomwa na jua sana, tofauti na kina Mbowe wao kiyoyozi home hadi ofisini.Sasa Kuna wale wako sawa umri na mbowe na jk ngozi zao ni tofaut jk ana 70 lakin Yuko vema njoo huku mtaan uone Mzee wa miaka 70 alivo
HakikaFact, refractive index haipo kwenye plane mirror, plane mirror kazi yake ni kureflect mwanga, sio kurefract!