PreGE2025 Baada ya kupitisha mchango Makalla aagiza Siglada kwenda kupatiwa matibabu Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====

Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
 
Huyo mama amepigiwa Njombe au Iringa?
 
Naombeni msaada kama kuna yeoyote mwenye tamko la kulaani tukio la mwana ccm kule mwanza aniwekee hapa au ni mimi ndio sielewi. Eti gafla ccm wamekua watetezi wa Chadema , hii ni kali kuliko,
UKIAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO JK.
 
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====

Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Nimecheka kwa nguvu, wampeleke India kabisa, siku anarudi akapokelewe na mama Samia.
 
Siasa za Nchi hii zingekuwa tamu kama Tume ingekuwa HURU lakini pamoja na maigizo yote haya ya CCM (sisemi kwamba huyo Binti wa BAWACHA hakupigwa) sheria ichukue mkondo wake, ninachosema ni vizuri mitifuano kama hii halafu tunaigia kwenye Balot Box tunawaachia Wananchi waamue😄😄😁
 
Back
Top Bottom