PreGE2025 Baada ya kupitisha mchango Makalla aagiza Siglada kwenda kupatiwa matibabu Dodoma

PreGE2025 Baada ya kupitisha mchango Makalla aagiza Siglada kwenda kupatiwa matibabu Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hilo janajike limepandikizwa kuvuruga No reform, mambo haya yatakuwa mengi sana kwa mikutano ya Lissu na Heche.
CCM wanatumia kila njia kujaribu kudhoofisha kampeni hii.
CDM kaeni chonjo - saa mbaya!!
 
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====


Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Nilifikiri ni usajili wa new covid-1
 
Back
Top Bottom