PreGE2025 Baada ya kupitisha mchango Makalla aagiza Siglada kwenda kupatiwa matibabu Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naombeni msaada kama kuna yeoyote mwenye tamko la kulaani tukio la mwana ccm kule mwanza aniwekee hapa au ni mimi ndio sielewi. Eti gafla ccm wamekua watetezi wa Chadema , hii ni kali kuliko,
UKIAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO JK.
Ccm ndio walimuhonga aende akaharibu mkutano wa cdm, wanachofanya sasa ni muendelezo wa walichomtuma. Cdm wasijihusishe kabisa na huyo dada maana anataka kuwatoa kwenye mstari.
 
Mbona Lissu alichangiwa hela za kununulia gari na CCM? Na akapokea. Nae alihongwa?

Amandla...
 
Naombeni msaada kama kuna yeoyote mwenye tamko la kulaani tukio la mwana ccm kule mwanza aniwekee hapa au ni mimi ndio sielewi. Eti gafla ccm wamekua watetezi wa Chadema , hii ni kali kuliko,
UKIAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO JK.
Kuna tamko lolote la CDM likilaani kupigwa kwa Sigrida? Sasa kama CDM imemtelekeza kwa nini CCM isichangamkie fursa?

Amandla...
 
SiSiem wanamtaka, mimi nadhani hakuna haja ya kuhangaika wao wampelekee kadi yao hata hapo kitandani, haiumizi. Tumekwishawazoea

Ule utaratibu wa kumtangaza Makalla kuwa ni mshindi namba 1 wa shindano lile la kumtafuta mtu wa hovyo kuliko wote, umeishia wapi? Maana Makaka anazidi kudhihirisha umahiri wake katika kuwa mtu wa hovyo kabisa.

Sasa kajipa na mamlaka ya kuwa daktari bingwa wa kutoa rufaa kwa wagonjwa!!
 
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====

Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Epsode namba moja hii,tunangoja namba2
 
Huyo binti akiangalia sana, wanaweza kumpoteza, maana bado hata ndani ya ccm kuna wasio mpenda ndani ya ccm!
 
Siasa za Nchi hii zingekuwa tamu kama Tume ingekuwa HURU lakini pamoja na maigizo ypte haya ya CCM (sisemi kwamba huyo Binti wa BAWACHA hakupigwa) sheria ichukue mkondo wake, ninachosema ni vizuri mitifuano kama hii halafu tunaigia kwenye Balot Box tunawaachia Wananchi waamue😄😄😁
Ingekuwa kiburudisho tosha!
 
Majitaka mastemind wao Rostam alisema, hawajakua wanadumaa deile hawa watu wakati karne inasonga mbele tu! na civilization inakua hadi inapitiliza
 
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====

Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Chama chetu buana. Badala ya kwenda Mwanza kumtafuta kada wetu aliyepotea wiki ya pili sasa, wanahangaika na Mwanachadema.
 
Mbona Lissu alichangiwa hela za kununulia gari na CCM? Na akapokea. Nae alihongwa?

Amandla...
Lisu aliomba michango ya kununua gari, huyo dada kaomba wapi michango ya matibabu? Ni watu wangapi wamepata majanga tena wenye uhitaji lakini ccm haiwachangii inalazamisha kumchangia huyo waliyemtuma kuharibu vikao vya cdm?
 
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====

Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Si ajiunge tu huko ccm? Mbona yule mwenezi wa bwawacha aliyepigwa kule pwani hakuchangiwa?
 
Huu ni unafiki wa level ya PhD. CCM ingekuwa na upendo na utu kiasi hiki matumizi mabaya ya vyombo vya dola dhidi ya wapinzani yasingekuwepo nchi hii.
 
Wakuu,

Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:

Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

=====

Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.

Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi

Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Kwa nini Polisi haijamkamata aliyefany huu uhuni?
 
Hawa wahuni wangekuwa na huruma na ubinadamu leo Deusi soka, Mzee kibao, Ben saa8 na msululu wa Watanzania wenzetu tungekuwa nao uraiani.
 
Lisu aliomba michango ya kununua gari, huyo dada kaomba wapi michango ya matibabu? Ni watu wangapi wamepata majanga tena wenye uhitaji lakini ccm haiwachangii inalazamisha kumchangia huyo waliyemtuma kuharibu vikao vya cdm?
Kwa hiyo nyinyi shida ni yeye kuchangiwa? Mgonjwa tangu lini anaomba mchango? Mmemtelekeza ndio maana mkawapa upenyo CCM kutumia hiyo nafasi. Halafu sasa mnataka kumuangushia nyumba mbovu? Huyu bado ni mwanachama wa CDM na hakustahili kufanyiwa mlivyomfanyia. Nyinyi kila mtu anayetofautiana na kambi lenu mnampakazia kuwa ametumwa. Sigrada alikuwa ana malalamiko yake lakini kwa sababu alidiriki kumsifu Mbowe mbele ya Mwenyekiti basi mnafanyia fitna ili aonekane msaliti.Mnakiharibia chama chenu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom