Alikua anatafuta sababu tu kuondoka, yaani anampenda Mbowe mpaka anashindwa zuia maumivu ya kushindwa. Aende tu CCM huko tuone rangi yake halisi.Ni suala tu la muda kabla ya huyo Kamanda wa Bawacha kuvua gwanda, na kuvaa gunia lenye rangi ya kijani na njano.
Huyo mama amepigiwa Njombe au Iringa?Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Kweli huyu fedha imemfunua kutuonyesha jinsi alivyoMoney doesn't change people, it unmasks them.
Pesa haibadilishi watu, inawafichua.
๐๐คฃ๐ Lucas MwashambwaMtasikia kesho kapewa ukuu wa Wilaya,wakati Lucas Mwamshamba yeye yupo miaka yote anatetea chama mpaka kaota mvi
Pesa mwanaharamu, inaonesha vile vilivyofichwa.Kweli huyu fedha imemfunua kutuonyesha jinsi alivyo
Ndani ni ccm 100% nje sare ya chademaNi suala tu la muda kabla ya huyo Kamanda wa Bawacha kuvua gwanda, na kuvaa gunia lenye rangi ya kijani na njano.
Tukio lilitokea Njombe.Huyo mama amepigiwa Njombe au Iringa?
Nimecheka kwa nguvu, wampeleke India kabisa, siku anarudi akapokelewe na mama Samia.Wakuu,
Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili
Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG๐๐
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
=====
Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.
Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi
Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
usiangalie ulipoangukia,bali ulipojikwaaNi suala tu la muda kabla ya huyo Kamanda wa Bawacha kuvua gwanda, na kuvaa gunia lenye rangi ya kijani na njano.
Walisema "kifo ni kifo"Mzee Kibao katekwa kwente gari, kapelekwa mafichoni katolewa macho , kauwawa na kumwagiwa tindikali hao CCM hawakusema chochote.