Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Yote haya kwa sababu alikuwa kambi ya Mbowe? Halafu mnajidai mnataka kuponya majeraha? Kwa matendo haya kwa nini Mwenyekiti wenu asionekane kama dikteta uchwara? Mna tofauti gani na CCM ambao ni mwiko kutofautiana na Mwenyekiti?Wamchukue tu jumla awe mwanaccm
Hiyo ndiyo Ambulance iliyomleta mgonjwa?Wakuu,
Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili
Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAGππ
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
=====
Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.
Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi
Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Ww sio mwanachama wa cdm wala kwenye kikao hukuwepo, hayo ya kwamba alimsifia Mbowe kwenye huo mkutano umeyajuaje? Je kama sio mmemtuma na akashindwa kucheza script yake vizuri, hicho kilikuwa ni kikao cha kumsifia Mbowe?Kwa hiyo nyinyi shida ni yeye kuchangiwa? Mgonjwa tangu lini anaomba mchango? Mmemtelekeza ndio maana mkawapa upenyo CCM kutumia hiyo nafasi. Halafu sasa mnataka kumuangushia nyumba mbovu? Huyu bado ni mwanachama wa CDM na hakustahili kufanyiwa mlivyomfanyia. Nyinyi kila mtu anayetofautiana na kambi lenu mnampakazia kuwa ametumwa. Sigrada alikuwa ana malalamiko yake lakini kwa sababu alidiriki kumsifu Mbowe mbele ya Mwenyekiti basi mnafanyia fitna ili aonekane msaliti.Mnakiharibia chama chenu.
Amandla...
Hiyo hasa ndio tamati ya mchezo wote huu.Ni suala tu la muda kabla ya huyo Kamanda wa Bawacha kuvua gwanda, na kuvaa gunia lenye rangi ya kijani na njano.
Ni mtu wao siku nyingi itakuwaukute ni mtu wao kitambo aisee!
Mashuhuda waliokuwepo wanasema alijiangusha tu na kupiga makelele kwamba kapigwa.Yote haya kwa sababu alikuwa kambi ya Mbowe? Halafu mnajidai mnataka kuponya majeraha? Kwa matendo haya kwa nini Mwenyekiti wenu asionekane kama dikteta uchwara? Mna tofauti gani na CCM ambao ni mwiko kutofautiana na Mwenyekiti?
Amandla...
Mimi sio mwanachama wa CDM lakini ni mmojawapo wa watu watakaoombwa kura na vyama vyote kama uchaguzi utafanyika. Na ni mmoja wa watu ambao CDM inawashawishi kuunga mkono campaign yao ya " No Reforms No Elections ". Au mnategemea wanachama wa CDM peke yao ndio watakaoifanikisha?Ww sio mwanachama wa cdm wala kwenye kikao hukuwepo, hayo ya kwamba alimsifia Mbowe kwenye huo mkutano umeyajuaje? Je kama sio mmemtuma na akashindwa kucheza script yake vizuri, hicho kilikuwa ni kikao cha kumsifia Mbowe?
Unataka cdm wamtibu, kwani wanachama wote wa cdm wanaopata matatizo huwa wanatibiwa na chama? Je ccm mmewahi kuwatibu wafuasi wengine wa cdm ambao chama hakijawatibu? Kama sio mlimtuma inabidi mbebe hii kadhia ni nini? Bado mko kwenye siasa hizi za propaganda za kizamani?
Sawa. Alijiangusha wakati anaingia kwenye kikao? Na anapata faida gani kusema Noel alimpiga? Kuweni na aibu kidogo.Mashuhuda waliokuwepo wanasema alijiangusha tu na kupiga makelele kwamba kapigwa.
Cdm hawataki kura yako boss wana kura za kutosha. Nimekuuliza hukuwepo kwenye kikao cha cdm huyo dada aliyepigwa. Umejuaje sababu za ndani, unakuja na story za kwamba alimsifia Mbowe.Mimi sio mwanachama wa CDM lakini ni mmojawapo wa watu watakaoombwa kura na vyama vyote kama uchaguzi utafanyika. Na ni mmoja wa watu ambao CDM inawashawishi kuunga mkono campaign yao ya " No Reforms No Elections ". Au mnategemea wanachama wa CDM peke yao ndio watakaoifanikisha?
Sagrida alimsifia Mbowe katika shughuli za Bawacha za siku ya Mwanamke. Alisema hivyo mbele ya Mgeni wa Heshima wa shughuli yenyewe. Na alirekodiwa na akarushwa You Tube.
Hakuna mahali niliposema kuwa CDM wamtibu. Nilichokisema ni kumjulia hali. Inaelekea bado mko kwenye giant za uchaguzi mlioshinda. Ile ya character assassination.Kila mtu akitofautiana na nyie ni ama ni CCM au ametumwa na CCM. Propaganda za kizamani ndio hizo za " zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti "! Shida ni kuwa katika upofu wenu hamlioni hilo. Sagrida sio adui wa CDM. Nyinyi ambao hamtaki kufikiri ndio maadui wa CDM. Mnadhani mnajenga kumbe mnakiharibia.
Kampeni pole Sagrida. Haitawagharimu kitu. Hata kama hamumpendi.
Amandla...
Wataenda kumuua ili watengenese doa kubwa sana kwa uongozi wa cdm hawa watu hawajawahi kua rafikiWakuu,
Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili
Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAGππ
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
=====
Sakata la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Siglada Mligo, aliyepigwa na kujeruhiwa na Mlinzi katika kikao cha Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa John Heche mkoani Njombe, limevuta hisia za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kada huyo kukosa msaada wa haraka.
Pia soma: Pre GE2025 - CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Seglada aliyepigwa na mlinzi
Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amosi Makala baada ya kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu lakini ameenda mbali zaidi kuwaagiza uongozi wa chama hicho mkoa wa Iringa kushughulikia safari ya Mligo kwenda Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya hali yake kubadilika.
Kwa vile ubunifu na ujuzi wa Mtanzania hapo ndiyo mwisho wake wanaweza kufanya hivyo ili wailetee nchi madawa na vifaa tiba hospital zote, bima ya afya kwa wote, ajira kwa vijana wote na kushusha bei za vifaa vya ujenzi nchi nzima, maji safi na salama kila Kijiji na kitongoji.Wataenda kumuua ili watengenese doa kubwa sana kwa uongozi wa cdm hawa watu hawajawahi kua rafiki
Sawa. Nawatakia kila la kheri.Cdm hawataki kura yako boss wana kura za kutosha.
Shida ni uelewa. Nimesema moja ya sababu Sagrida anafanyiwa visa ni ile ya kumsifia Mbowe mbele ya Lissu, wewe unakazania kuniuliza kama nilikuwepo kwenye kikao cha Njombe!Nimekuuliza hukuwepo kwenye kikao cha cdm huyo dada aliyepigwa. Umejuaje sababu za ndani, unakuja na story za kwamba alimsifia Mbowe.
Kwa hiyo CDM walienda kumjulia hali? Kumbe ni kweli amelazwa hospitali!Cdm hawahitaji kwenda kumjulia hali huyo dada na macamera, nyie ndio mnahitaji kwenda na macamera maana mnamtumia kwa ajenda zenu.
Ndugu zake wanahusika vipi hapa? Na kuna ubaya gani wa mtu kuwa na ndugu ambao ni CCM? Mbona Mwenyekiti wenu kaka yake ni CCM?Toka amepigwa kama mnavyosema, umeona ndugu zake wakiwa kwenye macamera wakimjulia hali, ama ccm ndio ndugu zake sana?
Ndio umemaliza hapo? Kupona ataHizo siasa za kizee endeleeni nazo nyinyi, lakini cdm hawana muda huo. Na hakikisheni anapona, na ikibidi mpeni card ya chama chenu aje awasaidie kumsifia Samia kama alivyokuwa anamsifia Mbowe. Una lingine?
Ficha uji.***nga wako.usikute unaitwa baba nyumbani kumbe kichwaboxKuna tamko lolote la CDM likilaani kupigwa kwa Sigrida? Sasa kama CDM imemtelekeza kwa nini CCM isichangamkie fursa?
Amandla...
Unadhani kutukana ndio uerevu? Usijisumbue kunijibu maana nimekuweka kwenye ignore list. Kwaheri.Ficha uji.***nga wako.usikute unaitwa baba nyumbani kumbe kichwabox
Kwani aliyesema apelekwe huko,yeye ni daktari wa nini?Wakuu,