LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Serikali hii ni ya kipuuuzi sana! Mpk kwenye misiba mtu anakurupuka huko anatoa tangazo la kuhamasisha watu kujiandikisha! Pumbavu sana!
imekuwa ndio mtindo kutumia misiba kutoa matamko na matangazo ya serikali huko, tusishangae hata kwenye harusi na sherehe zingine huko zikatumika kama jukwaa la kunadi mambo ya kisiasa
 
Serikali hii ni ya kipuuuzi sana! Mpk kwenye misiba mtu anakurupuka huko anatoa tangazo la kuhamasisha watu kujiandikisha! Pumbavu sana!
siku hizi misiba ndio jukwaa la kupenyeza ajenda za serikali huko. Ni jukwaa la bwerere, unakuta viongozi wa serikali na chama wanatumia mikusanyiko ya misiba kufanya propaganda zao.
 
Juzi kulikuwa na msiba mtaani. kwa bahati mwili wa marehemu ulisafirshwa tukabaki baadhi ya watu kama ilivyo desturi yetu.
mwekiti wa mtaa akajiroga akasema vijana mbona hamjiandikishi?
siku zote nilijua ni mimi tu au tupo wachache sana ambao hatuna muda wa kujiandikisha kumbe vijana karibia wote
hawana mpango wa kujiandikisha.

Aliulizwa maswali yaani bado hajajibu kazomewa na aliambiwa tusikuone kabisa umegombea huu mtaa na ukipita hutaacha kuona kila rangi yetu!

Mimi kwa unyenyekevu nikamuuliza ndg mwenyekiti tangu tukuchague umetufanyia nini maana hata bara bara za mitaa gari hazipiti kipindi kwa sababu ya makorongo na hii ndo ilikuwa ahadi yako ya kuhakikisha bara bara za mtaa zinachimbwa na kuwekwe mifereji ya maji?

Alitamani alie halafu akaniuliza swali badala ya jibu Wewe hujaona nilicho fanya kweli? aisee wanatia huruma sana
kwa sasa baada ya swali hilo alizomewa mno ni aibu tupu
 
Naona unajichekesha. Msipojiandikisha si ndio CCM itashinda kiulaini? Kwanini? Kwasababu wana mtandao wa wanachama hadi ngazi ya balozi. Wakipewa maelekezo wote wataebda kujiandikisha. Wapinzani ndio watakosa wapiga kura. Hivyo bora tu mjitokeze kujiandikisha na kupiga kura.
 
Salaam, shalom!!

Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali"

Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai,

Viongozi wetu mkashindwa kujua kuwa kauli zenu ni sawa na kumshika mkono kipofu wakati mnamwibia chakula chake,

Matokeo ya kauli zenu, wananchi wamestuka, wamesusa,wamepuuza wamekaa pembeni.

Sasa Kuna Ile KANUNI ya ushindi wa mazingira, kuwa, wakijitokeza wapiga kura waliojiandikisha, unaongeza na za wizi Ili ionekane chama kimeshinda Kwa HAKI,

Sasa watu hawajiandikishi, wamegoma, mtaiba kura zipi ilhali watu hawajitokezi!!

Sasa uhalali wa kuongoza utatoka wapi ikiwa wananchi wamegoma kushiriki chaguzi sababu ya wizi na viburi vyenu?

Suluhu pekee iliyobaki mbeleni ni kubadili mgombea wa nafasi ya juu kuliko zote Ili angalau Nchi ipumue, chama kiendelee kuwepo japo Kwa miaka 10 ijayo, tofauti na hapo, yajayo...

Wana chi Si wajinga, mkae mkijua Hilo.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni 🙏
Sisi wananchi sio wajinga.

Walisema wataiba, watatuteka na hata kutuua ikibidi mwisho wa siku wanasema Mungu nisamehe Maisha yanaendelea.
 
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu unatoa picha ya ajabu ya uchaguzi mkuu ujao mwakani. Kama huu unasuasua, wa mwakani ndio utasuasua zaidi kwani wananchi hawahamasiki kupiga kura ikiwa tayari wanajua nani atakua kiongozi. Wananchi wanaona ni kujisumbua tu kwenda kupiga kura wakati fulani atashinda kwa mbinu zozote hata kama hatapata kura za kutosha
 
Sasa mbona wewe usijiandikishe na kuamua kugombea ili umpige chini? Unajua fikra zingine za wabongo ni mbaya. Kama mnataka mabadiliko ya uongozi mshiriki kwenye michakato ya kidemokrasia!
Juzi kulikuwa na msiba mtaani. kwa bahati mwili wa marehemu ulisafirshwa tukabaki baadhi ya watu kama ilivyo desturi yetu.
mwekiti wa mtaa akajiroga akasema vijana mbona hamjiandikishi?
siku zote nilijua ni mimi tu au tupo wachache sana ambao hatuna muda wa kujiandikisha kumbe vijana karibia wote
hawana mpango wa kujiandikisha.

Aliulizwa maswali yaani bado hajajibu kazomewa na aliambiwa tusikuone kabisa umegombea huu mtaa na ukipita hutaacha kuona kila rangi yetu!

Mimi kwa unyenyekevu nikamuuliza ndg mwenyekiti tangu tukuchague umetufanyia nini maana hata bara bara za mitaa gari hazipiti kipindi kwa sababu ya makorongo na hii ndo ilikuwa ahadi yako ya kuhakikisha bara bara za mtaa zinachimbwa na kuwekwe mifereji ya maji?

Alitamani alie halafu akaniuliza swali badala ya jibu Wewe hujaona nilicho fanya kweli? aisee wanatia huruma sana
kwa sasa baada ya swali hilo alizomewa mno ni aibu tupu
 
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa maigizo kuliko chaguzi zote zilizopita.

Nipo mtaani tunaandika wapigakura, mabalozi wamejikusanya na orodha za watu wao tunachukua na kuweka waaah bila hata wahusika kujua. Umri tunakadiria, saini tunagushi, nk. Kweli bongo nyosso sana.
Mnaharibu nchi
 
Sasa mbona wewe usijiandikishe na kuamua kugombea ili umpige chini? Unajua fikra zingine za wabongo ni mbaya. Kama mnataka mabadiliko ya uongozi mshiriki kwenye michakato ya kidemokrasia!
Mkuu kama unavyojiona una akili timamu vivyo hivo nani najiona nina akili timamu.
kwanza kutokujiandikisha ama kupiga kura ni hiari sio lazima.

Nikiwa na akili zangu timamu siwezi enda kujiandikisha wala kupiga kura. huku natambua wazi kabisa ccm
wanaiba kura na Nape amekuwa akisema dhahiri kuwa ushindi wa ccm hautegemei kilichomo ndani ya sanduku
bali hutegemea na anayetangaza matokeo hayo. Nikienda kupiga kura nikateni kichwa

Kuhusu kugombea ni yaleyale maana ccm wanakuwa na mtu wao tiyari na hivyo kuwafanya wananchi ni wajinga
 
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa maigizo kuliko chaguzi zote zilizopita.

Nipo mtaani tunaandika wapigakura, mabalozi wamejikusanya na orodha za watu wao tunachukua na kuweka waaah bila hata wahusika kujua. Umri tunakadiria, saini tunagushi, nk. Kweli bongo nyosso sana.
Ole wenu nikute jina langu kwenu!!
 
Salaam, shalom!!

Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali"

Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai,

Viongozi wetu mkashindwa kujua kuwa kauli zenu ni sawa na kumshika mkono kipofu wakati mnamwibia chakula chake,

Matokeo ya kauli zenu, wananchi wamestuka, wamesusa,wamepuuza wamekaa pembeni.

Sasa Kuna Ile KANUNI ya ushindi wa mazingira, kuwa, wakijitokeza wapiga kura waliojiandikisha, unaongeza na za wizi Ili ionekane chama kimeshinda Kwa HAKI,

Sasa watu hawajiandikishi, wamegoma, mtaiba kura zipi ilhali watu hawajitokezi!!

Sasa uhalali wa kuongoza utatoka wapi ikiwa wananchi wamegoma kushiriki chaguzi sababu ya wizi na viburi vyenu?

Suluhu pekee iliyobaki mbeleni ni kubadili mgombea wa nafasi ya juu kuliko zote Ili angalau Nchi ipumue, chama kiendelee kuwepo japo Kwa miaka 10 ijayo, tofauti na hapo, yajayo...

Wana chi Si wajinga, mkae mkijua Hilo.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni 🙏
Wameamua kuwaangushia jumba bovu viongozi wao wanaomaliza muda wao kuwa ndiyo wanaovuruga zoezi la uandikishaji wapiga kura wakati ni wao wenyewe walioratibu uhuni huu ili kuficha aibu ya watu kususia kujiandikisha.
 
Attachments

  • CCM.jpeg
    CCM.jpeg
    237.7 KB · Views: 3
Naona unajichekesha. Msipojiandikisha si ndio CCM itashinda kiulaini? Kwanini? Kwasababu wana mtandao wa wanachama hadi ngazi ya balozi. Wakipewa maelekezo wote wataebda kujiandikisha. Wapinzani ndio watakosa wapiga kura. Hivyo bora tu mjitokeze kujiandikisha na kupiga kura.
Mpumbavu wewe!
 
Kituko, uhamasishaji unafanyika mpaka makanisani wananchi wakajiandikishe. Cha ajabu wahamasishaji ni viongozi wa ccm kata, wilaya, mkoa wanaingia makanisani na kusema wametumwa na ngazi za juu kuja kuhamasisha uandikishaji huku wengine wakiwa wamevaa sare zao za kijani. Cha ajabu zaidi wanatoa sadaka nzuri tu hata kama watakuta muda wa kutoa sadaka umepita. Wakishatoa sadaka wanatoka mbio kuwahi kanisa jingine kabla hawajatoka ibadani. Kwa sasa wanawafuata wananchi majumbani mwao kuwaandikisha kwa kuwabembeleza. Wananchi wanawakubalia kuandikishwa japo wanasema hawataenda kupiga kura, hawana muda huo wa kupoteza shughuli zao
Mimi nimeshuhudia Balozi akihamasisha watu kujiandikisha kwenye msiba wa Mwanangu.Hali ni mbaya sana,Wananchi wamegoma.
Ushauri wa Bure,CCM wajipigie wenyewe kura maana si huwa wanasema ata tusipopiga kura CCM lazima itangazwe mshindi!🤣🤣🤣🤣
 
Ole wenu nikute jina langu kwenu!!
Kuna katibu wa chama mtaani kwetu kachukua majina ya watu wazima wote nyumbani (sikuwepo) sijajua anamaanisha nini ingawa anajua tuliojiandikisha na ambao bado.
Jamaa wamejipanga, wanajua kila kaya waliojiandikisha na ambao bado. Na watakaowapigia kura. Wanapata ushindi kwa forecast kwanza kabla ya siku ya kupoga kura.
 
Back
Top Bottom