Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Kwahiyo haikuwa drama, a.k.a kujitekenye
 
Maana yake hao ni polisi maana Deo aliripoti polisi baada ya tukio. Hapo video ilikuwa haijaletwa mtandaoni. Wenye hoteli watufanyie wepesi tupate picha za cctv
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Nyumbu wewe. Yaani nina muda mrefu Sana nasoma thread bila ku log in. Ila nime log in kwa sababu yako.

1. Kama walikuwa wakamataji halali ni lazima polisi wangesema kwenye press release Yao. Polisi nao wanawatafuta watekaji!!!!!!??

2. Ni Kwa nini watekaji wakimbie tena waache Pingu wakati walitakiwa waifungue waondoke nayo? Baada ya kuona wananchi watakusanyika kwa wingi maana shughuli ilikuwa mzito. Bravo Deo.

3. Unapomkamata mhalifu unamuonyesha kitambulisho na RB ya kumkamata. Hizi nyaraka ni muhimu mno. Na NIWAAMBIE na wengine kuwa kama ametokea mtu anakuambia ni askari amekuja kukukamata mwambie akupe RB na inakuwa na kosa lako limeandikwa kwa herufi kubwa. Na ukishaiona ni haki yako kujulisha ndugu, mwanasheria kama unaye ili unapotakiwa maelezo au kuhojiwa mwanasheria wako anakuwepo. Pia kama Una namba ya kiongozi wa serikali ya Mtaa una Uhuru wa kumjulisha kabla ya kuongozana na wakamataji kwenda kituo cha polisi.

4. Kama umekamatiwa nyumbani ni lazima wakamataji wapite ofisi ya serikali ya Mtaa wako waongozane na kiongozi wako waje nyumbani kukukamata au kukupekua na kuondoka na wewe.

Sasa wewe darasa 0 unataka kutuambia nini sisi great thinkers? Kajipange upya. Nafikiri wewe ni ndugu, rafiki wa mkamataji mojawapo au ni mmoja wenu mmnekuja kutest zali hapa.

Mmetumia utekaji wa hovyo na hivyo itawagharimu. Aliyewatuma atawaruka kimanga.

Nenda ukojoe na kutoa kimba cha ugali maharage ulale maana yanakusababishia utoe huu ushuzi.
Shame on you.
 
Inasikitisha Sana kupita kiasi.



Hivi ni kweli kabisa kwamba Tanzania nchi niliyozaliwa tumefikia hatua hii ?????
Is it true or am I dreaming???
 
Hivi huyu mtu ambaye amenusurika kutekwa, Je, kuna ndugu yake wa karibu ambaye yupo humu mtandaoni??
Kila nikijaribu kutoa Maelezo fulani kumhusu hapa mtandaoni lakini naona nafsi inakataa kabisa, licha ya kwamba ni mambo muhimu sana ambayo yangefaa yamfikie mtu huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…