MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Basi ndio maana kuna katiba zinatukuza UshogaNimekuelewa ongeza hata katiba za nchi zote zimezingatia biblia fatilia muda wa kustaafu maaskofu na majaji wa mahakama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ndio maana kuna katiba zinatukuza UshogaNimekuelewa ongeza hata katiba za nchi zote zimezingatia biblia fatilia muda wa kustaafu maaskofu na majaji wa mahakama
Useless Brain, una safari ndefu sana ya kukwamuka kiakili dini imekufanya zwazwaa zwazwaaaMbona hivi ni vitu vidogo sana mkuu unataka kuvukuza sana.
Bible inakuba basic, forex ipo tangu enzi za Ibrahim. Yusuph Misri kacheza sana na concept za Bullish na Bearish.
Akili itafunguka zaidi ya hapo ulipojiwekea ukomo.
Kichaa ni mtazamo. Hata siku Nicola Tesla anademonstrate power of electromagnetic fields, kwa kuendesha boat ndogo remotely wakazi wa New york walimuona kichaa. Tena walisema ameficha kanyani ndani ndio kanaendesha.Ni kweli hata vichaa kwenye ulimwengu wao wanaamini ukichaa ndio akili
Maandishi yako yanaonyesha jinsi akili yako ilivyofurikwa na giza.Useless Brain, una safari ndefu sana ya kukwamuka kiakili dini imekufanya zwazwaa zwazwaaa
Cha fall and rise of tycoon tuma
Ni kweli hata hawa tunaowaona wako mirembe wanaona madaktari wao ndio walipaswa kuwa mirembeKichaa ni mtazamo. Hata siku Nicola Tesla anademonstrate power of electromagnetic fields, kwa kuendesha boat ndogo remotely wakazi wa New york walimuona kichaa. Tena walisema ameficha kanyani ndani ndio kanaendesha.
Kuona mtu kichaa au mzima inategemea na aliyeprogram akili yako.
Naunga mkono hoja.Kwa miaka kadhaa nimesoma vitabu vya uchumi, biashara, mahusiano, saikolojia na namna ya kukabiliana na changamoto za maisha.
Nimesoma vitabu vya wakina Kiyosaki, Brian Trecy, Robert Green, Ralph Waldo Emerson, Tsu Nzu, Napoleon Hill, Donald Trump n.k
Hii ndio hitimisho langu, karibu kila idea ya maana niliyojifunza imeelezewa kwenye Biblia moja kwa moja au kwa kuidecode.
Hivyo mtu ambaye atasoma biblia pekee kitaalam hana sababu ya kuhangaika kusoma vitabu vingine viingi. Ila pia kama unapenda kusomasoma, ukianzia kusoma biblia ukaenda kwenye vitabu vingine utaevielewa kwa haraka sana na utasoma kwa wepesi sana.
Ni hayo tu.
Mi nimeachaga kusoma Biblia kwa sababu inajipiga chenga yenyeweBoblia haina equations za Quantum Physics mkuu.
Sema hivi, kwa watu wenye utashi finyu, Biblia inawatosha.
Mimi nikisoma Biblia naona contradictions mwanzo mwisho.
Mkuu pokea maua Yako uko sahihi kabisa.Kwa miaka kadhaa nimesoma vitabu vya uchumi, biashara, mahusiano, saikolojia na namna ya kukabiliana na changamoto za maisha.
Nimesoma vitabu vya wakina Kiyosaki, Brian Trecy, Robert Green, Ralph Waldo Emerson, Tsu Nzu, Napoleon Hill, Donald Trump n.k
Hii ndio hitimisho langu, karibu kila idea ya maana niliyojifunza imeelezewa kwenye Biblia moja kwa moja au kwa kuidecode.
Hivyo mtu ambaye atasoma biblia pekee kitaalam hana sababu ya kuhangaika kusoma vitabu vingine viingi. Ila pia kama unapenda kusomasoma, ukianzia kusoma biblia ukaenda kwenye vitabu vingine utaevielewa kwa haraka sana na utasoma kwa wepesi sana.
Ni hayo tu.
Asante kwa mchango na mtazamo. Usiwe usasiwasi. Utaelewa tu taratibu.Ni kweli hata hawa tunaowaona wako mirembe wanaona madaktari wao ndio walipaswa kuwa mirembe
Cha fall and rise of tycoon tuma
Mungu wa kweli ni yupi? wapo zaidi ya 18,000....wanakubali uwepo wa Mungu.
Asilimia 90 hadi 95 ya waislam wa Tz hawana quran na huwa hawasomi wanapenda kusimuliwa mawaidha misikitini.Mkuu pokea maua Yako uko sahihi kabisa.
Hivi vitabu vya dini vinamajibu ya maswali yetu mengi hasa kwenye mfumo wetu wa maisha.
Nje ya mada kidogo. Zamani nilikua nawaona waislamu ni mapoyoyo sana kwasababu maswali mengi niliyokuwa nawauliza walikua hawawez kunijibu vile inavyotakiwa, siku Moja nikajitoa ufahamu nikatafuta kitabu Cha Quran kilichotafsiriwa, nilianza kukisoma mdogo mdogo japo mwanzoni huwa kinachanganya, ikafika siku nikadondokea kwenye sura ya SURAT MAIDA(sijui kama nimepatia Hilo neno la mwanzo).. nilivyoisoma hii sura nikaona mbona Kila kitu kipo open ila Hawa waislamu walikua wanazunguka tu bila kunipa majibu ya kueleweka.
Biblia Ina mengi ya kujifunza kama ukiamua kuisoma Kwa utulivu
Wakitoka kuskiliza mawaidha huwa wanakua wakali sana na hawawezi kujibu maswali tata Kwa kutumia Quran wao wanakimbilia kwenye hadithi za mtume walizosimuliwa huko kwenye mimbaliAsilimia 90 hadi 95 ya waislam wa Tz hawana quran na huwa hawasomi wanapenda kusimuliwa mawaidha misikitini.
Hawa ndio wepesi kutukana, kugombana, nawana uvumilivu kwa hoja kinzani. Msomi wa Quran ni mtu muungwana sana.
Kama waislam wangesoma biblia kinyenyekevu sio kuongozwa na vile vitini vya wanamidahalo wangekuwa na iq kubwa sana. Influencers wakubwa wa waislam walikuwa ni wasomi wa Biblia. Akianzia Waraqa ibn Naufal mtu aliyemsaidia mtume wao mambo ya kiroho.
Ni kweli mkuu.Wakitoka kuskiliza mawaidha huwa wanakua wakali sana na hawawezi kujibu maswali tata Kwa kutumia Quran wao wanakimbilia kwenye hadithi za mtume walizosimuliwa huko kwenye mimbali
Mtazamo ulioingia nao katika kuisoma umekufikisha hapo.Mi nimeachaga kusoma Biblia kwa sababu inajipiga chenga yenyewe
Ushoga kama uatheism ni matokeo ya kumkataa Mungu wa Biblia kwa akili timamu.Basi ndio maana kuna katiba zinatukuza Ushoga
Tatizo lako unaisoma biblia Kwa kutafuta vifungu vinavyokataza kula kitimoto Ili upate evidence za kubishana nawatuMi nimeachaga kusoma Biblia kwa sababu inajipiga chenga yenyewe